gango2 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2011 Posts 1,956 Reaction score 2,274 Nov 26, 2011 #1 aaah kama kawa yetu leo tena tumelalwa tena uwanja wetu wa taifa! bao 1 tu na wanarwanda julio kama kawa sijui kama analakujitetea!!
aaah kama kawa yetu leo tena tumelalwa tena uwanja wetu wa taifa! bao 1 tu na wanarwanda julio kama kawa sijui kama analakujitetea!!
LordJustice1 JF-Expert Member Joined Jan 19, 2011 Posts 2,263 Reaction score 532 Nov 26, 2011 #2 gango2 said: aaah kama kawa yetu leo tena tumelalwa tena uwanja wetu wa taifa! bao 1 tu na wanarwanda julio kama kawa sijui kama analakujitetea!! Click to expand... Ulijua au ulihisi? Kama ulijua: Bao ulijua lingefungwa na nani na dakika ya ngapi? Je, bao la penati, free kick, corner au namna gani?
gango2 said: aaah kama kawa yetu leo tena tumelalwa tena uwanja wetu wa taifa! bao 1 tu na wanarwanda julio kama kawa sijui kama analakujitetea!! Click to expand... Ulijua au ulihisi? Kama ulijua: Bao ulijua lingefungwa na nani na dakika ya ngapi? Je, bao la penati, free kick, corner au namna gani?
M Maswalala Senior Member Joined Mar 30, 2011 Posts 149 Reaction score 12 Nov 28, 2011 #3 gango2 said: aaah kama kawa yetu leo tena tumelalwa tena uwanja wetu wa taifa! bao 1 tu na wanarwanda julio kama kawa sijui kama analakujitetea!! Click to expand... acha uongo ww kama ulijua stars itafungwa mbona hukuweka hii post b4 game ianze
gango2 said: aaah kama kawa yetu leo tena tumelalwa tena uwanja wetu wa taifa! bao 1 tu na wanarwanda julio kama kawa sijui kama analakujitetea!! Click to expand... acha uongo ww kama ulijua stars itafungwa mbona hukuweka hii post b4 game ianze
BONGOLALA JF-Expert Member Joined Sep 14, 2009 Posts 16,508 Reaction score 11,897 Nov 28, 2011 #4 kila kitu wanya rwanda wanatuzidi kwa sasa!