Nilikataa chakula nilichoitiwa na ndugu yangu harusini kisa Masela

LA7

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
655
Reaction score
2,369
Ilikuwa ni harusi huko kijijini kwetu ule muda wa kula kukawa chakula hakijatosha hivo wale watu wa mwishoni nikiwemo na mimi tulikosa.

Kaka yangu yeye alikuwa kwenye kamati ya ugawaji hivho baada ya kubaki chakula kidogo alikuja kunichomoa kijanja kwa wasela tuende ndani tukabinye, nikamchomolea kwani nilijisikia vibaya kuwaacha masela tuliokuwa tunapiga nao story muda mwingi halafu niwakimbia kisa sahani ya ubwabwa.
 
Kwa hiyo roho yako hapa bongo utakufa masikini, huyo kaka yako haina haja ya kutaja chama chake cha siasa kwani amejipambanua vizuri sana.
 
Mpk leo mna harakati za ubwabwa wa kuzamia 😆😆😆😆!! Enzi za hayati Benjamin
 
CCM Makonda kawachanganya sana!! Mmeamua mjipooze na story za ubwabwa
 
Ilikuwa ni harusi huko kijijini kwetu ule muda wa kula kukawa chakula hakijatosha hivo wale watu wa mwishoni nikiwemo na mimi tulikosa.

Kaka yangu yeye alikuwa kwenye kamati ya ugawaji hivho baada ya kubaki chakula kidogo alikuja kunichomoa kijanja kwa wasela tuende ndani tukabinye, nikamchomolea kwani nilijisikia vibaya kuwaacha masela tuliokuwa tunapiga nao story muda mwingi halafu niwakimbia kisa sahani ya ubwabwa.
Aisee
 
Ok.
 
Back
Top Bottom