Mwaka jana nililazimika kuahirisha masomo ya chuo baada ya kukosa loan due to "budget exhaustion" sasa nina mpango wa kuomba upya mwaka huu ikiwa ni pamja na kubadl faculty na chuo! sasa je kuna utaratbu wwte kwa aliyeahrsha mwaka both in HESLB NA TCU? msaada!