Mm ni mmoja wa wanafunzi waliotu.a maombi ya mkopo ya elimu ya juu.
ktk fomu Yangu ya mkopo nilisahau kuambatanisha kitambulisho cha mdhamini...
Sasa jina langu halipo kat ya wale waliokosea kuapply, naombeni ushaur juu ya hilo
Kaka cjui km kutakuwa n mtu mwenye jibu sahihi ya hicho usemacho lalini tunaweza guess kutokana na maelekezo yao.... kuwa ili mtu awe na sifa ya kupata mkopo ni lazima uwe umeambatanisha viambata vyote vinavyo hitajika kukosekana kwa hvyo utakuwa umejikosesha Mkopo wako..."
Sasa cjajua kwako ww itakuwaje lakin mm cwez kukutabiria mabaya kuwa umeshakosa mkopo hapanaa kikubwa ww fikiria positive hata kma kitu ni negative ili usiumie moyo for the tym being...namanisha assume kosa lako bodi haijaona ndo maana hawajakutoa kwa walio kosea kuomba mkopo...huku ukifikilia plan B KUwa utafanyaje kama ukikosa mkopo nikimanisha njia nyingine ya kujisomeshaaa
Hapo kuna mawili kka either wameona kosa lako wakamua kukichinjia baharn kbsa o hawajaona kosa lako...lakin mm nafikiri wapo wengi kama ww so simple mathematics ipo hv walio omba mkopo wapo 58037 na ww ukiwemo humo ndani bodi inaweza kutoa kwa watu 30,000 na 28037 ndo watakosa waliokosea kuomba mkopo na majina ya katoka ni kama 2600 na kitu hivi sa kaa fikiria ujue itakuwaje hapo...... vitu kama hv kk mm huwa naviita ni bahati nasibu hamna anaye jua ukweli kuwa nan atapata na nan atakosa so lazima plan B ufikirie kuwa itakuwaje kama utakosaaa na ucjipe matumain asilimia mia kuwa utapata au utakosaaa.... ni serikali etu tu haijajipangaa
Mm niliwah fikiria kuwa hadi mtu kaomba mkopo means anashida sasa iweje bodi itoe asilimia 100 kwa mtu mmoja akati mwingne kakosa????? Hapo hapo kuna mwenye 20% kuna alie pata 39 aisilimia... namanisha nn bi kuwa kumbe bodi ilikuwa inauwezo wa ile asilimia 100 kugawanya badala ya mtu mmoja kupata wakapata hata watu 3 hakuna mwenye pesa anae penda kuomba na kuteseka kusubir mkopo cc wote tulio omba n kwamba tunashidaaa
Hata nyumbani baba akirudi na machungwa mawili na watoto wapo 7 atajitahidi agawe kwa kila mmoja... ili watoto wote wapate hata kama ni kidogo kidogo..lakin bodi etu haifanyi hivyo
Mwisho kaka mm naweza kukwmbia tu
"DON'T EXPECT TOO MUCH"
HII NI TANZANIA