Nilikosea kumlipa?

Yani unafunga mwaka kwa kukopa!Siungekunywa soda tu!

Lizzy, Soda kwenye kusherehekea mwaka mpya haipendezi wala haipandi kabisaaaaa!
 
Hahaha,paka mweusi umenikumbusha wakaka wa chuo walikuwa wanatutishia eti ''usijidai kunipandishia vioo,mi nakuvua nguo kila siku!!Ukininyima haisaidii!'' Halafu kulikuwa na usemi '' i should pay him rent coz i spend too much time in his mind!''
Itakuwa alikufurumsha hela zilikuwa chache,jaribu kumpa dolari nyingi labda...
 
Olwo walile e-embwa, Olye e-njungu. Otakulya Popiness eina embungo.
 
wewe jamaa una undugu na ABUNUASI
 
Utalia nyyyauuuuuuuu!!!,hahahahahaa.nakulia mingo hapa

Siku hiyo nina hakika hata itifaki haitafuatwa................
Jiandae na wewe mama kesho nakuja kukulipa..............
 
Siku hiyo nina hakika hata itifaki haitafuatwa................
Jiandae na wewe mama kesho nakuja kukulipa..............

Halafu wewe Nyau Mweusi bwana, mtu kama ndoto kanyaga haswa na usimpe nafasi mzee, kama vipi mpe mimba kabisa ndotoni atakoma ubishi wake, si unajua ndoto lazima azae usiku ule ule? Hatakuwa na usemi mzee....Kesho yake tena muote vile vile unakanyaga haswa? Kuna kadudu huko kwetu kanaitwa "NYASHA" ukichanjia haka KAMA BOMBA VILE....
 
Yani unafunga mwaka kwa kukopa!Siungekunywa soda tu!

Mama watoto kanikomoa eti ili nisihonge mademu sikukuu kafungia ATM cards zangu zote na funguo kaficha, na mimi sitaki kumaliza mwaka kwa ugomvi nimejiendea bar ninayofahamika mambo mswano. Nina pesa kidogo tu mfukoni ya dharula.
 
Hakukupa kw pesa ndio mana alikutimu... vp baba ulikula tig
 
Safi kabisa...kudhibitiwa ndio sawa yenu!
 
Hakukupa kw pesa ndio mana alikutimu... vp baba ulikula tig

Afadhali umenikumbusha mkuu,hiyo kitu nilisahau kabisa na kwa kuwa alinitimua nikimuota tena namkomesha kwa kumla hiyo kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…