Nilikua naomba kujua ubora wa hii simu [Nothing phone 1] ukilinganisha na A51

Nilikua naomba kujua ubora wa hii simu [Nothing phone 1] ukilinganisha na A51

Ultimate

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2016
Posts
739
Reaction score
1,888
Wakuu!

Nilikua naomba kujua ubora wa hii simu [Nothing phone 1] ukilinganisha na A51

Screenshot_20220718-213455_Samsung Internet.jpg

Screenshot_20220718-213504_Samsung Internet.jpg
 
Attachments

  • images.jpeg-56.jpg
    images.jpeg-56.jpg
    22.8 KB · Views: 17
  • images.jpeg-55.jpg
    images.jpeg-55.jpg
    13.9 KB · Views: 18
  • images.jpeg-54.jpg
    images.jpeg-54.jpg
    13.9 KB · Views: 18
Wamejaribu sana kutembea na biti la iphone 11,12, plain macho mawili ila shida ni Android sasa sio IOS halafu na wao hawana audio jack ya 3.5mm yaan kitobo cha earphones
 
Hii simu ni equivalent ya A52s, ni nzuri kuliko A51.

Nothing ni nzuri kama unapenda Hizo Led, software ambayo ni kama stock (kama oneplus vile), pengine na camera ikawa nzuri.

Ila inauzwa Bei kidogo compare na simu nyengine za sd 778G, kama hio samsung Galaxy A52s, Xiaomi 11 lite 5G ne, Galaxy M52, Realme master GT etc
 
Simu haina week
Labda tulinganishe ubora kwa kwa hayo maelezo (specifications)
Kwa upande wangu simu ikishakuwa na 'glass back' ndio tena. Sipendi simu zenye hiyo
 
Wamejaribu sana kutembea na biti la iphone 11,12, plain macho mawili ila shida ni Android sasa sio IOS halafu na wao hawana audio jack ya 3.5mm yaan kitobo cha earphones

hilo body la nje ndio linakuchanganya??vipi hizo led huko nyuma zinapatikana iphone gani???
 
Hivi hii ni brand mpya maana siilelewi tangu inatoka,mtengenezaji wa hii simu ni nani
 
Back
Top Bottom