Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Nitaanza mwanzo kabisa,
Kutokana na ishu za hapa na pale nilikua sijafanya mapenzi (wala masturbation) kwa zaidi ya miezi minne, kisha siku ilivyofika a second namaliza kumwaga nikapata maumivu ya ghafla kama vile nina mtoki uliochachamaa.
Maumivu yalidumu kwa dk mbili hivi kisha yakayeyuka halafu yakaja maumivu ya kichwa. Maumivu yakapungua kadri muda unavyoenda kisha baadaye mwili ukapanda joto. Kwa kuhofia delta nikawa nimeresort kwenye vimiminika kila mara, paracetamol na light exercises.
Kesho yake nikaamka mzima kabisa kama vile hakuna kilichotokea. Kisha kama siku ya tano mbele (9th ya mwezi huu) nikarudia kufanya mchezo mbaya hiyo siku ndiyo nikaona manii zimejaa damu. Rangi yake ni darker kama vile inaashiria siyo damu fresh. Now ninapoishi access ya huduma ya afya ni mwendo wa saa tatu kwa gari so nikaanza kwa kugoogle ikiwa delta variant ina symptoms za kutoa shahawa zenye damu, majibu yakaja hapana.
Nikagoogle kujua ni nini nilichokiona (Majibu yakasema ni kawaida kwa under 40 ( I am under 40) kuexperience hiyo ishu na kama hakuna maumivu ya tumbo, unakojoa kawaida na hakuna dalili za STDs basi ishu itapona yenyewe. But yaweza kua ni kiashiria cha kansa ya tezi dume au tezi dume yenyewe inaact weird so ni vyema kuicheki hiyo ishu pia.
Nilivyosearch tena nikakuta na JF kuna nyuzi watu walianzisha za tatizo kama hilo, this means sitaweza andika tena uzi kama huo as utaungwa na hizo nyingine na ukiungwa nafikiri inakua ngumu mno kupata majibu. Nikawa nasoma kilichomkuta mleta uzi anasema alienda hospital, akapimwa akakutwa ana UTI kali akatumia dawa, kamaliza dozi ila bado anamwaga damu.
Mshkaji mwingine akasema ishu imepona bila kutibiwa, nikamuuliza alisubiri muda gani mpaka kupona yenyewe hakujibu. Anyway, nikakaa kwa siku nne nikafanya tena, damu, siku sita nikafanya tena, damu, siku mbili nikafanya tena, damu.
Nikarudi google kuangalia dalili za tezi dume, dalili zote sikua nazo. Ikabidi nigoogle nijue gharama ya kupimwa tezi dume, nikakuta gharama hazitajwi ila wametaja siku hizi hawaingizi tena kidole kwenye ndogo ila wanatumia ultra sound (Oh that's better).
Nikadhamiria kufunga safari kwenda Mloganzila, nikiwa najipanga na hiyo ishu nikafanya tena mchezo mbaya ok saa hii siyo shahawa zenye damu ila ni damu as in unafika climax na orgasm unapata ila unaejaculate damu. Nikaona 'ohoo dafuq is this?' Kabla sijafunga safari nikatakiwa niende kijiji fulani ndani huko, so safari ikasimama kwanza.
Juzi Jumapili nimerudi, nimefanya mchezo mbaya, hazikutoka damu ila zimetoka manii clear na hazina uzito (Kutoka damu mpaka clear color? Progress, I think) kisha leo nimeona hazina uzito kama Jpili ila zina ile rangi yake tunayoijua wote (Another progress i think).
So nafikiri safari ya Mloganzila imesimama kwa sasa. Also leo it has dawned on me inawezekana ile siku niliyopata maumivu na joto kuna mshipa ulichanika (labda).
Ningeweza kukaa kimya. Ila nimeamua kuandika ili itakayemkuta na akija JF asikose jibu na ajue kuna muda mrefu wa kusubiri mpaka kila kitu kua sawa. Moderators itakua vyema msiunganishe huu uzi as nyuzi za mwanzo zimeelezea tatizo na kuomba ushauri while huu uzi nimejaribu kuelezea tatizo na muda uliochukua mpaka kufikia hapa.
Kama hali itarudi kama mwanzo nitahakikisha naupdate uzi.
Adios
Update;
Sijatokwa tena na damu ila kuna vitu vimebadilika;
1) Normally hua nina control during orgasm. Yaani unlike others mimi hua nakua alert na ninaweza cum bila kujikunja au kukunja sura ila baada ya hii ishu nmekua sensitive mno towards sex na nimekua sina control wakati nacum. Yaani naona imekua too much sweet kiasi hadi nasema.
2) Mwanzo ilikua nikikaa kuanzia siku nne bila sex siku nikifanya nikicum zinatoka nyingi mno na zitapungua kadri rounds zinavyoongezeka. Sasa hivi naona nina same amount, haijalishi siku zimepita au ni raundi ya kwanza au ya tatu.
3) Mwanzo ilikua nikicum na nikamaliza hata baada ya kumaliza bado kuna mabaki yatakua yanavuja. Kwa sasa nikimwaga ndo nimemwaga hazitoki tena hizo zinazobaki.
Nafikiri over time nitarudi kua normal. Ila damu hakuna kabisa.