ya mufindi
JF-Expert Member
- Dec 23, 2014
- 569
- 888
Wasaalam,
niende kwenye mada,miezi mitatu nyuma katika kutafuta maisha kijana nikapigiwa simu ngeni,mwanamke akanambia kapewa namba yangu na mtu hii ni kutokana na mishe zangu za vibiashara vidogo vya mbao,dada alikua anahitaji hiyo bidhaa bas huyo mtu kamuunganisha.
Akanambia nikitoka bush nikifika mjin nimtafute aanze safar kutoka huko kwao,nikampigia baada ya siku mbili akaja ni bonge moja la mwanamke,natural hakuna mikorogo safi,tukabonga biashara kapakia mzigo karud moro,wiki moja kanipigia nimwandalie mwingine,nikaandaa nusu mjini uliobaki ikabidi aje twende bush kuuchukua.
Kufika bush kukamilisha mzigo jioni sana hatuwezi rudi mjini na bodaboda,kimbembe kwa kulala hakuna inabidi tulale kachumba kamoja mimi na yeye,hatukuvumiliana usiku nikamla huyu boss coz ilitokea unconditionaly tulijilaumu baada ya tendo.
Kutoka hapo mazoea yakajengeka na boss mtoto mzuri,(na katika maisha yangu sijawahi mpenda mwanamke yeyote)ila kwa huyu boss hisia zikaanza kunijia kidogo na kila anapofuata mzigo anafikia kwangu ikawa kama mke na mume,na nikiri nikampenda huyu boss na yeye akanipenda kutokana na uchakarikaji wangu akawa anatuma tu mzigo ye haendi moro anabaki huku.
Sasa wakuu hapo majuzi tu natoka mishe nakuta harufu ya sigara,kuangaza angaza kibaraza cha nyuma sikuamini mtoto mzuri anaipuliza hatari,na ana kama kipafyumu kidogo kumbe akivuta huwa anapulizia mdomoni hatoi harufu,nilianza kumpenda sasa nataka nimpotezee kiaina coz hatakua na malezi bora kwa watoto, au ni changudoa huko kwao,hakuniona ila me ndo nilimwona kumpotezea mazima naona kama anaweka ngumu flani,mnisaidie ndugu zangu nifanyaje,japo vipato vyetu nimeona havitofautiani kwa nilivomsoma kwa miezi michache hii.