banned do
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 574
- 506
Yaani nilikuwa sijawahi kukutana na kitu kama hiki katika maisha yangu.Nilikuwa nikisikia tu kwa watu nakuona kama wanazingua.Sasa baadaye yakaja kunikuta kwa dada mmoja wa Kihaya ambaye ni mfanyabiashara mzuri tu.Yaani nilipoonja siku moja nikajikuta nimekufa na kuoza juu yake.Nilifanya kila hila za kumsahau lakini wapi nikakumbuka waliowahi kukutana na masaibu kama haya.Baada ya yule dada kuhamishia biashara yake mkoani ndio ikawa pona yangu.[emoji12]