Nilikufa nikaoza nashukuru Mungu sasa hivi nipo salama.

banned do

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2017
Posts
574
Reaction score
506
Yaani nilikuwa sijawahi kukutana na kitu kama hiki katika maisha yangu.Nilikuwa nikisikia tu kwa watu nakuona kama wanazingua.Sasa baadaye yakaja kunikuta kwa dada mmoja wa Kihaya ambaye ni mfanyabiashara mzuri tu.Yaani nilipoonja siku moja nikajikuta nimekufa na kuoza juu yake.Nilifanya kila hila za kumsahau lakini wapi nikakumbuka waliowahi kukutana na masaibu kama haya.Baada ya yule dada kuhamishia biashara yake mkoani ndio ikawa pona yangu.[emoji12]
 
Huna lolote sema kutoa maji ndiyo kulikunogea
 
Mimi ndio mpk leo sijui nitatokajee mbali na yote aliyonifanyia najikuta tu bd niponae kwa huy mtoto wa wa kikinga penzi lake sijawahii kulisahau siku zote
 
Alikufa akaoza na leo yuko salama....daah kumbe kifo kinaweza muacha mtu salama siku hizi,ngoja nimalizie vitumbua vyangu kwanza

Kumbe haujawahi kukutana na madhira kama hayo.
 

Katelelo haijawahi kumuacha mwanaume salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…