Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Miaka 11 iliyo pita July 16 kuamkia july17
Nilimpoteza dada angu kipenzi RITHA
Sio kua sikuwai kushuhudia msiba hapanaa.........
Uli ishi Miaka 24 tuu....ndio kwanza ulikua umeanza Kazi ya utumishi serikalini....
Na mengi ya kuandika juu ya maisha yako najua hii page haito tosha...
Kifo chako Ilikua ni gafla sikuamin mpaka tunakufukia chini....
Nilipo kuaga kweny jeneza.... sikuamin....tulipo KUA kweny gari ya serikali kum safirisha mazikon stili nili ona ndoto
Nilijua ni ndoto ntaamka ila haikua ivyo....
Kuna muda nili lia nikakemewa, nikakatazwa na kuambiwa mwanaume halii...
Nili ishi na kuamini misiba na vifo haviwezi ipata familia yetu...
Sikuwai kujua mtu wa familia yetu anaweza fariki
Nilijua dada atarudi....
Nililia sanaaa....nili mkufuru na ku mtukana mwenyezi MUNGU.....takriban Miaka mi3
Kuna siku accidentally nilimtembelea bro ROJA nilimkuta ana angalia muvi ya maswahaba wa mtume muhamad (vijana Sana wa pangoni)
Hapo ndipo nili badilika mtazamo na kupata tiba.......Japo kua mimi ni Mkristo ila ile muvi ili ni jenga sana
Na amin kuna walio wai pata mapigo makubwa zaid ya Hili....
Nilikupenda sana dada pumzika Kwa amani.....