Nilikutana na msichana mzuri asiye na kifani mtandaoni

Al-Hadidy

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
1,411
Reaction score
3,077
Kipindi hicho ilikuwa napenda sana kushinda Facebook ikatokea nimekutana kufahamiana na msichana mmoja hv katika comments za page maarufu.
Mara nyingi alikuwa akipenda kuweka likes na kureply pale nnapotoa comment au kwenye profile yangu baada ya kuwa marafiki.

One day mtoto akanijia inbox tukachat sana kwa muda mrefu tukazoeana hadi kubadilishana namba.Baada ya miezi kadhaa nikiwa nimetokea kumuelewa nikamrushia ndoano bila hiyana akadaka.
Siku moja akasema tuonane tukapanga sehemu ya kuonana,kesho yake nikachukua bajaj kwenda eneo tulilokubaliana kwenye hotel fulani.

Ile kushuka nilikutana nae moyo ulibast kwa mshtuko baada ya kuona ni mrembo zaidi ya nilivyoona picha zake.Alikuwa na mrefu wastani mzuri mwenye hips matata kifuani chuchu saa 6 na nyuma sio haba.
Alinishangaza sana baada ya kutoa pesa na kumlipa mwenye bajaj,nilijihisi tofauti.

Tulispend pamoja ile siku hadi tukazama kwa kisima cha huba,alikuwa ni mtamu haswaaa!!!
Bahati mbaya nikashtuliwa natakiwa niamke niwahi shule kumbe ilikuwa ndoto,kujicheki chini huko nimejichafulia nilimaind kinyama hiyo ndoto.

ENZI HIZO HATA DEMU SINA[emoji23] [emoji23]
 
Kwahiyo kama alikuundia kwa jina la kike ww ukaona fresh tu?!

Hata angekuwekea jina mariam ungekubali?....omba ubadilishiwe jina
Mi mwenyewe nilikuwa sijui kwa kuwa ni ID fake nikaamua kutumia tu nilisongeshe hakuna madhara
Mods siwajui
 
Mi mwenyewe nilikuwa sijui kwa kuwa ni ID fake nikaamua kutumia tu nilisongeshe hakuna madhara
Mods siwajui

Muandikie pm maxence au invicible ukiomba kubadilishiwa jina halikisha jina unalotaka halipo jf
 
Canada imeruhusu matumizi ya Bangi kwenye hadhara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…