Nilikuwa mbishi sasa nakubali Kenya wana Katiba bora, japo mapungufu machache hayakosekani

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
PAMOJA na umahiri wa Maseneta na Mawakili wa Kenya katika kuchambua vifungu Vya Katiba kimoja baada ya kingine ni Wazi kabisa Katiba Mpya ya Kenya inabaki kuwa Bora.

Dah hawa Wanasheria ni noma.

Yaani Katiba imesheheni kila kitu ila pale kwenye Impeachment inasoma " President" na siyo " Deputy President" nadhani ni kwa sababu Rais ni Taasisi.

Ngoja tuone 😂

Kwako Lucas Mwashambwa
 
Kwahyi Chadema Mfano Dr Tulia akaondolewa kwenye urais wa mabunge IPU nyiny itawazidishia nini kwenye siasa zenu? Mbona kama mnaroho za kichawi chawi hivi?
 
Siku hizi JF imevamiwa na wapumbavu wengi sana. Kila mtu akijisikia kuandika anaandika tu. Huu uchafu gani umeandika?

Wenye akili walitegemea uchambuzi wa kina, kumbe upumbavu tu.

Stupid
 
PAMOJA na umahiri wa Maseneta na Mawakili wa Kenya katika kuchambua vifungu Vya Katiba kimoja baada ya kingine ni Wazi kabisa Katiba Mpya ya Kenya inabaki kuwa Bora.

Dah hawa Wanasheria ni noma.

Yaani Katiba imesheheni kila kitu ila pale kwenye Impeachment inasoma " President" na siyo " Deputy President" nadhani ni kwa sababu Rais ni Taasisi.

Ngoja tuone 😂

Kwako Lucas Mwashambwa
Kwanza Ile Katiba ni ya wananchi... Imetungwa kwa ajili ya changamoto za sasa!
Tofauti na Katiba ya Tanzanie ya mwaka 1977 ambayo imepitwa na wakati. Na upatikanaji wake hauwashirikisha wananchi!
 
Kwahyi Chadema Mfano Dr Tulia akaondolewa kwenye urais wa mabunge IPU nyiny itawazidishia nini kwenye siasa zenu? Mbona kama mnaroho za kichawi chawi hivi?
Acha bangi dogo, hiki ulichoweka hapa kinaendana na uzi husika?
 
PAMOJA na umahiri wa Maseneta na Mawakili wa Kenya katika kuchambua vifungu Vya Katiba kimoja baada ya kingine ni Wazi kabisa Katiba Mpya ya Kenya inabaki kuwa Bora.

Dah hawa Wanasheria ni noma.

Yaani Katiba imesheheni kila kitu ila pale kwenye Impeachment inasoma " President" na siyo " Deputy President" nadhani ni kwa sababu Rais ni Taasisi.

Ngoja tuone 😂

Kwako Lucas Mwashambwa
Kwa hiyo katiba inayoruhusu Rais akitofautiana na makamu wake waliopigiwa kura na wananchi kwa pamoja kumtimus na kumchagua wa kwake ambae hajapigiwa kura ndio mnaona ni katiba bora?🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Kwanza Ile Katiba ni ya wananchi... Imetungwa kwa ajili ya changamoto za sasa!
Tofauti na Katiba ya Tanzanie ya mwaka 1977 ambayo imepitwa na wakati. Na upatikanaji wake hauwashirikisha wananchi!
Hao wananchi wiliompigia Makamu wa Rais kura leo katimuliwa na wahuni wasiozidi mia tatu na watapachika makamu wanaomtaka ndio katiba bora kweli?
 
PAMOJA na umahiri wa Maseneta na Mawakili wa Kenya katika kuchambua vifungu Vya Katiba kimoja baada ya kingine ni Wazi kabisa Katiba Mpya ya Kenya inabaki kuwa Bora.

Dah hawa Wanasheria ni noma.

Yaani Katiba imesheheni kila kitu ila pale kwenye Impeachment inasoma " President" na siyo " Deputy President" nadhani ni kwa sababu Rais ni Taasisi.

Ngoja tuone 😂

Kwako Lucas Mwashambwa
Bora umelitambua hilo. Nchi jirani unaambiwa katiba haileti maendeleo.
 
Hao wananchi wiliompigia Makamu wa Rais kura leo katimuliwa na wahuni wasiozidi mia tatu na watapachika makamu wanaomtaka ndio katiba bora kweli?
Unajisahau mapema sana!
Ruto na Riggy G waliiba kura!
Lolote liwakute kwa mujibu wa Katiba!
 
Back
Top Bottom