johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Inahusiana vipi na uzi huu?Kwahyi Chadema Mfano Dr Tulia akaondolewa kwenye urais wa mabunge IPU nyiny itawazidishia nini kwenye siasa zenu? Mbona kama mnaroho za kichawi chawi hivi?
Aondolewe huyo betina!Kwahyi Chadema Mfano Dr Tulia akaondolewa kwenye urais wa mabunge IPU nyiny itawazidishia nini kwenye siasa zenu? Mbona kama mnaroho za kichawi chawi hivi?
PAMOJA na umahiri wa Maseneta na Mawakili wa Kenya katika kuchambua vifungu Vya Katiba kimoja baada ya kingine ni Wazi kabisa Katiba Mpya ya Kenya inabaki kuwa Bora.
Dah hawa Wanasheria ni noma.
Yaani Katiba imesheheni kila kitu ila pale kwenye Impeachment inasoma " President" na siyo " Deputy President" nadhani ni kwa sababu Rais ni Taasisi.
Ngoja tuone π
Kwako [B]Lucas Mwashambwa[/[/B]USER]
[/QUOTE]
Huyu mwendawazimu ataelewa nini?
CCM ni kusanyiko la shetaniCCM inalihujumu taifa
Afukuzwe na siyo kuondolewaAondolewe huyo betina!
Inahusiana vipi na uzi huu?
Siku hizi JF imevamiwa na wapumbavu wengi sana. Kila mtu akijisikia kuandika anaandika tu. Huu uchafu gani umeandika?PAMOJA na umahiri wa Maseneta na Mawakili wa Kenya katika kuchambua vifungu Vya Katiba kimoja baada ya kingine ni Wazi kabisa Katiba Mpya ya Kenya inabaki kuwa Bora.
Dah hawa Wanasheria ni noma.
Yaani Katiba imesheheni kila kitu ila pale kwenye Impeachment inasoma " President" na siyo " Deputy President" nadhani ni kwa sababu Rais ni Taasisi.
Ngoja tuone π
Kwako Lucas Mwashambwa
Uchambuzi atakufanyia mmeo nyumbani πΌπSiku hizi JF imevamiwa na wapumbavu wengi sana. Kila mtu akijisikia kuandika anaandika tu. Huu uchafu gani umeandika?
Wenye akili walitegemea uchambuzi wa kina, kumbe upumbavu tu.
Stupid
Kwanza Ile Katiba ni ya wananchi... Imetungwa kwa ajili ya changamoto za sasa!PAMOJA na umahiri wa Maseneta na Mawakili wa Kenya katika kuchambua vifungu Vya Katiba kimoja baada ya kingine ni Wazi kabisa Katiba Mpya ya Kenya inabaki kuwa Bora.
Dah hawa Wanasheria ni noma.
Yaani Katiba imesheheni kila kitu ila pale kwenye Impeachment inasoma " President" na siyo " Deputy President" nadhani ni kwa sababu Rais ni Taasisi.
Ngoja tuone π
Kwako Lucas Mwashambwa
Acha bangi dogo, hiki ulichoweka hapa kinaendana na uzi husika?Kwahyi Chadema Mfano Dr Tulia akaondolewa kwenye urais wa mabunge IPU nyiny itawazidishia nini kwenye siasa zenu? Mbona kama mnaroho za kichawi chawi hivi?
Kwa hiyo katiba inayoruhusu Rais akitofautiana na makamu wake waliopigiwa kura na wananchi kwa pamoja kumtimus na kumchagua wa kwake ambae hajapigiwa kura ndio mnaona ni katiba bora?πββοΈπββοΈπββοΈPAMOJA na umahiri wa Maseneta na Mawakili wa Kenya katika kuchambua vifungu Vya Katiba kimoja baada ya kingine ni Wazi kabisa Katiba Mpya ya Kenya inabaki kuwa Bora.
Dah hawa Wanasheria ni noma.
Yaani Katiba imesheheni kila kitu ila pale kwenye Impeachment inasoma " President" na siyo " Deputy President" nadhani ni kwa sababu Rais ni Taasisi.
Ngoja tuone π
Kwako Lucas Mwashambwa
Hao wananchi wiliompigia Makamu wa Rais kura leo katimuliwa na wahuni wasiozidi mia tatu na watapachika makamu wanaomtaka ndio katiba bora kweli?Kwanza Ile Katiba ni ya wananchi... Imetungwa kwa ajili ya changamoto za sasa!
Tofauti na Katiba ya Tanzanie ya mwaka 1977 ambayo imepitwa na wakati. Na upatikanaji wake hauwashirikisha wananchi!
Hovyo kabisa!spika wetu hovyooooo mazee
Bora umelitambua hilo. Nchi jirani unaambiwa katiba haileti maendeleo.PAMOJA na umahiri wa Maseneta na Mawakili wa Kenya katika kuchambua vifungu Vya Katiba kimoja baada ya kingine ni Wazi kabisa Katiba Mpya ya Kenya inabaki kuwa Bora.
Dah hawa Wanasheria ni noma.
Yaani Katiba imesheheni kila kitu ila pale kwenye Impeachment inasoma " President" na siyo " Deputy President" nadhani ni kwa sababu Rais ni Taasisi.
Ngoja tuone π
Kwako Lucas Mwashambwa
Unajisahau mapema sana!Hao wananchi wiliompigia Makamu wa Rais kura leo katimuliwa na wahuni wasiozidi mia tatu na watapachika makamu wanaomtaka ndio katiba bora kweli?