Elections 2010 Nilikuwa mkereketwa wa CHADEMA lakini nimejitoa


Kumbuka vizuri toka wakati wa podamatic, utagundua kwamba nilikuwa mmoja wale waliochangia sana juu ya vyama vya upinzani kuungana. Na 'Tanzania Daima' ndio lilikuwa gazeti langu la kila siku.

Hata baadhi ya vijana wa vyuo vikuu wananifahamu kwa hoja zangu ktk mtandao na baadhi yao nilikuwa nakutana nao katIka mtandao hapa Magomeni NA TUKIJADILI KWA NINI NI MUHIMU KUKUMBATIA UPINZANI.

Sina haja ya kudhibitisha zaidi, ila mimi ninachokuomba basi angalau jadili hizo point. Nikosoe kama Mh Slaa si maarufu Dar na Dodoma, nikosoe kama mavadhi ya CHADEMA hayawatishi wananchi, nikosoe kama kweli Mh Slaa si mdemokrasia na...na...na.
 

i bet ulikuwa ukicheka kipindi uaandika hii thread!
 

Upupu!!

Kikwapa!!!
 
ulikuja kimya kimya ni vema ukaondoka kimya kimya - our slogan is once one moves, 10,000 PPL wanaingia ndani. kwanza ulipandikizwa na ccm ushindwe na ulegee in the name of Jesus Christ.
 
hivi kwa kauli kama hii utawapa bill hao ccm ya kuwafanyia kampeni?
any way zile t-shirt na safari za kwenye malori ndio bei yako? mpenzi Zawadi?

Haya sasa tuache utani na Kampeni, ngoja tujadili kipengele no 5 tu maana vipengele ni vingi.

Acheni kufikiria nani atashinda, tuje kwenye vitu halisi na tuingie ndani katika ilani ya uchaguzi ya CHADEMA. Je kuna mwana CHADEMA anayeweza kusimama kidete na kuitetea sera ya uchumi ya Mh Slaa? Tuanze na hilo.
 
zawadi u need to go to school.

Sio shule hiyo ni njaa tu! sasa hapo anamkosoa Dr kwanini kama ukijiuliza na anatuambia kuwa kahama Chadema ili sisitufanye nini zaidi ya kumuona anatapatapa...Mbona wengi tu wana njaa lakini hawawi kama wewe!
 

Hivi wewe unajua uchumi kweli kweli au unamaanisha nenolinaloitwa uchumi khaa tutolee hapa.
 
Ulikuwa unatetea upinzani kuungana hicho zio kigezo. mbona balile alikuwa mhariri wa tanzania daima. yu wapi leo? acha kuwafanya Watanzania ni misukule.
maneno matupu hayatupi stand kwamba wewe ni pro-mageuzi kifikra. Kama nijuavyo jinsi jeshi la akiba la ccm lifanyavyo kazi ni kwamba wanajitahidi kuzoa umaarufu kwenye vyama lengwa kisha wakati kama huu wanajitia kurudi ccm kuwa upinzani haueleweki. wewe umeamua kurudi huko ulikotoka wala hatukubembelezi ufikirie upya uamuzi wako zaidi ya kukuambia kwamba NENDA MWANA KWENDA
 
naamini kwenye suala la uhuru wa maoni lakini vilevile inabidi admn uweke minimum IQ requirement kupost kwenye hii forum ,mtu anasema dr slaa si maarufu dar wala dodoma atakaa ikulu ipi? sikumbuki kusoma comment ya kipumbavu zaidi hii
Ninasapoti hoja yako mkuu.
Naongezea kwamba. huyu Zawadi Ngoda hana tofauti na mhaini yeyote maana anapandikiza chuki kwenye jamii. nasikitika kwamba tunamjibu huku tukijua kuwa habadiliki wala kukubaliana na ukweli halisi. Mtu unakuja na hadidu za kinyambaf ili kujenga hoja. wanajaza jukwaa watu kama hawa,
 
naamini kwenye suala la uhuru wa maoni lakini vilevile inabidi admn uweke minimum IQ requirement kupost kwenye hii forum ,mtu anasema dr slaa si maarufu dar wala dodoma atakaa ikulu ipi? sikumbuki kusoma comment ya kipumbavu zaidi hii
Ninasapoti hoja yako mkuu.
Naongezea kwamba. huyu Zawadi Ngoda hana tofauti na mhaini yeyote maana anapandikiza chuki kwenye jamii. nasikitika kwamba tunamjibu huku tukijua kuwa habadiliki wala kukubaliana na ukweli halisi. Mtu unakuja na hadidu za kinyambaf ili kujenga hoja. wanajaza jukwaa watu kama hawa,
 

ZAWADI 2TAJIE CARD nO. YAKO YA CHADEMA ILI 2JUWE KWELI WEWE ULIKUA MWANACHAMA HAI. MIMI NAFIKIRI KUNA MA2. LAKWANZA UNA2MIA DEMOCRACY YAKO KUHAMIA CHAMA CHOCHOTE UKIPENDACHO 2 UMEPATA MRUNGULA UMEAMUA KIJIPENDEKEZA ILA KWA CCM CZANI KAMA UTAPATA K2 MAANA UTA2MIKA KAMA CONDOM.(UNATUMIKA WAKATI FULANI THEN BAADA YA HAPO HATA KUISHIKA TAABU. THE SAME AS TOILET PAPER IKIISHATUMIA WALA HAIANGALIWI)
 
mh nahisi ukweli huwa unauma wakati wote. Hizo picha ulizoweka Kibunango naona zimewagusa watu hapa. Poleni wandugu na hayo ni mawazo yake, kubalini tu japo yawauma.

Nawakilisha Oktoba 31
 

Hapana ndugu yangu naona umepitwa na wakati. Kwa kukukumbusha tu nakuomba urudie somo la ECOLOGY. Hata kinyesi chako hutumika tena na hizi ndio sera za kisasa ZA JK.

sISHANGAI ukifikiri kuwa kitupwacho basi hakitumiki tena, kwani Mh Slaa hana sera MAZINGIRA.
 

samahani nataka kujiridhisha tu, hapo kwenye blue na wewe umo?
 

Unajua kitu ambnacho hukunielewa wakati na hata sasa ni kwamba inapokuja suala la nchi na chama basi mimi ni ' TANZANIA KWANZA'. Hivyo wakati ule nilisimama kideta kwa maendeleo ya Tanzania ilikuwa muhimu kwa Upinzani kuungana. Nilipoona upande wa upinzani hasa CHADEMA walikuwa na uchu tu wa kuingia IKULU nikaona hapa tumeliwa.

Ukweli ni kwamba hata kama ndoto zitakamilika na Mh Slaa atashinda na bunge lake ukimpa zaidi ni 30%(kama nyie wenyewe mnavyoandika, kwani sehemu nyingi hamjasimamisha hata mgombea) sasa ataongozaje nchi wakati muhimili mmoja hana.

Ndio maana niliandika kuwa huyu ni DIKTETA, maana ni dikteta tu ndio anaweza kuongoza nchi na 30% ya wabunge. Ikiwa ameshindwa kuongea na vyama huko nyuma hata werza baada ya kushinda. Hapo ndio hoja YANGU YA UDIKTETA ILIPO.

Sasa tujadili mambo ya faida kwa TANZANIA tuache mbwe mbwe.
 

Mama huo ni umaskini wako wa kufikiri. Wengine tunaona mbali zaidi yako, kwa hiyo hatukushangai. Vaeni tu hizo khanga mnazopita nazo mabarabarani huku nyuma sura ya JK iko inachekelea makalioni. Mi mke wangu nikimkuta nayo, siku hiyo ataniambia vizuri, sababu hajawahi kuniambia nimchapishie khanga ambayo ina sura yangu ili aninadi kama mume wake.
Nasikia wenye makalio makubwa ndo wengi wanavaa ili wakipita huko mitaani, washikaji wawe wanageuka kuwatizama, na wanatingisha kweli huko mitaani. CCM bwana, wana mambo ya ajabu sana.
 
Zawadi Ngoda,

Halafu hilo jina ni la mtu,na unamjua vizuri sana mwenye hilo jina, na unajua yeye sio mtu wa mtandao, hivyo hawezi kuja humu na kujiweka mbali na unachoandika. Please tafuta ID nyingine
 
Zawadi Ngoda,

Halafu hilo jina ni la mtu,na unamjua vizuri sana mwenye hilo jina, na unajua yeye sio mtu wa mtandao, hivyo hawezi kuja humu na kujiweka mbali na unachoandika. Please tafuta ID nyingine

Hakuna mmiliki wa majina hapa Duniani. Jina la mtu si NGO, au CHAMA au KAMPUNI........

Sibadili jina kamwe!
 
Pale mnapokosa hoja za ushawishi kwa wapiga kura, mtatumia mpaka mayai viza. Mlisema wanawaongopea hawawezi kutoa elimu bure, historia ikawasuta. Mara ooh kaiba mke wa mtu, wenye akili wakaziba masikio. Mkaja na vitisho vya vita, wenye akili tunawashangaa tu. Sasa mnajitia unafiki wa eti nilijiondoa CHADEMA. Mwaka huu, tafuteni uongo na uzushi wooooooooooooooooteeee mnaoujua katika dunia hii, sisi tunasema "HATUDANGANYIKI"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…