Elections 2010 Nilikuwa mkereketwa wa CHADEMA lakini nimejitoa

Zawadi nilikuwa sijui kama umefilisika kimazo kwa kiwango hiki,UMENIHARIBIA BUDI KWA SIKU YA LEO.
 
Since you joined JF you have never been a CHADEMA follower...I wonder when you decided not to be
 
Umechelewa sana na mambo ya ajabu then jaribu kumpa kura huyu mgombea wako
 
,,,,,,,,,,,,,,,,,,Baya zaidi ni swala la CHADEMA kukosa mtandao visiwani tofauti na wenzao wa CUF na ndio maana CHADEMA walihangaika sana kumpata mgombea mwenza mwishowe wakampata mhitimu wa darasa la saba mchuuza samaki wa soko la Darajani Unguja Said Mzee Said ambaye kwa wengi kimtazamo anaonekana kulazimishwa kuogelea kwenye maji ambayo kina chake si saizi yake hata kidogo na hii diyo sababu mheshimiwa huyu havai gwanda la CHADEMA jukwaani tofauti na viongozi wengine wa CHADEMA.,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,Nova Kambota Is Always A gentle Man Feel Proud To Visit His Site, call 0717-709618 or 0783-610926,email;novakamota@gmail.com
 

karibu sana CCM kwa mikono miwili nakukaribisha sana sana
 
Zawadi Ngoda,

Kwanini unatumia jina la ukweli la mtu- kibaya zaidi mwenye hilo jina unamfahamu au kwa vile unajua hawezi kutembelea hapa. Hebu punguza PCRA zako

Je nimueleze mwenye jina halisi ?
 
Kafulilo alipokihama CHADEMA alitoka hadharani na kueleza sababu za kuhama chama. Watanzania wote wakamsikilza na kumuelewa, hakuna aliyemueleza kwanini unatutaarifu kuwa umehama chama, si uamuzi wako au ni demokrasia n.k. Halikadhalika kwa Tambwe.

Leo masikini Zawadi nawaeleza sababu zangu za kuhama Chama mmekasirika na kunishutumu, eti dhambi yangu ni kuueleza umma tukio hilo. Binafsi nimeona ni muhimu sana kuwaeleza washiriki wenzangu si tu kwanini nimehama chama vile vile ni kuweka wazi kwanini 'KURA YANGU SITOMPA Mh Slaa'. Kweli binafsi sioni kama hilo ni kosa. Kwani ni kosa wewe kueleza kwanini hutampa kura yako 'Kikwete'?

Mmesema Mavazi si Muhimu, well, waulizeni wanasaikolojia Mavazi ya mtu yanavyoweza kumueleza mtu mwenyewe. Kifupi nilieleza hisia zangu na naeleza tena na tena hivyo ndivyo mimi ninavyohisi juu ya mavazi ya CHADEMA. Kuna aliyesema hata wakivaa mavazi ya KOMANDOO si kitu, hapana kwangu ni kitu.

Mwisho napenda kuwapa ishara za wakati: Huu ni wakati AMBAO UPEPO umemlenga JK na kumpeleka kikwete Ikulu.

Ujumbe wa leo: Nchi hii atakabidhiwa mtu aliye na vision ya uchumi-Kikwete, Rais ambaye popote afahamikapo duniani humuona kama ZAWADI kwa Afrika na Tanzania.
 
Sio watanzania wote waliokubali hiyo reform, tulikuwa hatuna jinsi bali kukubali kutokana na matakwa ya nchi wahisani, IMF na WB. Wewe umejuaje Dr. Slaa atapata wabuge asilimia 30%? Vile vile sidhani kama katiba inazuia kuchagua mawaziri kutoka vyama vingine, ila kwa kuwa unafikiria ki-CCM unaona mambo ya serikali ya mseto ni kitu kisichowezekana.

BTW Baruso ndio nani?

2. Na 30% hawezi kuleta demokrasia hilo sina haja hata ya kulijadili.
No, no taratibu tafadhali, wewe umesema atapata wabunge 30% sasa inabidi utueleze umejuaje atapata idadi hiyo na kwa vipi demokrasia itakosekana? Demokrasia hailetwi na idadi ya wabunge bungeni ingekuwa hivyo basi CCM wangekuwa mabingwa wa demokrasia(tumeshuhudia jinsi walivyochafuana bungeni na wakati wa kura za maoni). Demokrasia inaletwa na serikali inayofuata utawala wa kisheria na kuheshimu haki za binadamu na raia wake.

Wewe unayejua tuambie Mkapa aliua wangapi Dar? Alafu kuhusu Gadaffi na kuamishia makao makuu kwenda Tripol ni UONGO mkubwa, kabla ya mapinduzi ya Sept 1 1969 makao makuu ya Libya yalikuwa ni Tripol hiyo hiyo sasa wewe hii sijui umetoa wapi.

4. BabaDesi kashamaliza, mimi sina la kusema. Hivi unahisia gani ukiyaona mavazi ya fuatayo: Mgambo, JKT, Polisi, JWTZ. Tunaweza kuiwa katika hisia tofauti, lakini mimi huwa najua kuna jambo limetokea. Wahuni huwaita wazee wa kazi.
Hizo ni hisia zako, mtu mwingine anaweza kuja na hisia zake na kudai mavazi ya kijani ya CCM ni sawa na ya jeshi letu. CHADEMA wameanza kuvaa magwanda kabla ya hata Dr. Slaa hajateuliwa kuwa mgombea urais wewe umeyagundua hayo leo ulikuwa wapi wakati Mbowe na wenzake wanayavaa kipindi cha nyuma?

Hahaha eti bado namkosa kama mbunge, ebo kwani bunge limevunjwa lini?

Any way nimejibu kifupi sana ili nisiwachoshe wasomaji.
Kwa mara nyingine tena unatoa majibu vague kwa kisingizio cha kuwa eti sitaki kuwachosha.
 

Ningeandika neno moja tu - crap. Kwa vile invisible na wenzake wanataka wanifungie iwapo nitaandika neno crap, so nitajizuia na sitaandika kuwa hii crap uliyoweka hapa ni crap kuliko crap zote za crapville.

Sababu ya kuiita hii kuwa ni crap (ili nisifungiwe), ni kuwa watu wa crapville, hupenda sana kuandika crap kama hizi.
 


Holy Crap
 

Mwanafalasfa, wala usipate shida mkuu. Kuna watu udini uko damuni. Huyu dada hajali cha maslahi ya nchi wala nini yeye anaangalia nani ni wa dini yake basi. Huyu dada ni mdini sana.

@Zawadi Ngoda,
Nakuhitaji kwenye jukwaa la dini kule...hapa ondoka hapakufawi Mkuu!

Afadhali wewe unamfahamu vizuri dadako.
 
Mwanafalasfa, wala usipate shida mkuu. Kuna watu udini uko damuni. Huyu dada hajali cha maslahi ya nchi wala nini yeye anaangalia nani ni wa dini yake basi. Huyu dada ni mdini sana.



Afadhali wewe unamfahamu vizuri dadako.

Haya Kafulilo anarudi Bungeni lakini si kwa tiketi ya CHADE, huko mbunge wa CHADE ni hoi . Lakini usijali

Any way, nisikilize ndugu yangu najua CHADE iko Damuni, KWAKO CHADE NI MUHIMU KULIKO NCHI. Hivyo ndivyo ulivyo, hata kama wakisema wataharibu mazingira na vyanzo vyote vya maji. Polellllllllllllleeeeeee. Tutakutana baada ya 31.10 sijui utajificha wapi. Nimehifadhi hizi ndoto zako, kukicha 31.10 nitaurisha mkanda nyuma nakuzipaste hapa JF.
 
Jibu maswali niliyokuuliza hapo juu.
 
haki ya nani kama kuna mtu kaishiwa ni huyu. kama kuna mwa JF anayefaham kiwango cha elimu ya huyu jamaa naombeni muiweke hapa. ana uwezo mdogo sana wa kufikiri.
 
ULIKUWA AUNAOTA AU VIPI NJAA SEMA NAYO ILA UTAKUWA MJINGA PALE UTAKAPO ISHIWA KILE ULICHOPEWA JANA,
cONQUEST-HAUNA KADI YA CHADEMA ACHA UZUSHI PILIPILI ULIO LISHWA ITAKUWASHA MWENYEWE:mmph:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…