Pentamycin
JF-Expert Member
- Mar 18, 2023
- 210
- 281
Tanzania ngumu vijana wa chadema wamekuwa wa hovyo sana kama huyuWakati huo nilikuwa nipo njema Sana kiuchumi,Sasa katika harakati za ulevi nikakutana na mdada bar,tukalewa tukaenda guesti mdada akalala chali kuomba mzigo akaniambia panda mgongoni,nimle kisamvu,Kwa akili za kilevi nikamchamata ,baada ya hapo nikawa nimenogewa kula kisamvu lakini nilifilisika na kuwa na maisha magumu,mtaalamu mmja akaniambia huyo dada alisepa na nyota
Sura ya kazi pole ndugu
Tubu dhambi zako, Mungu atavirejesha vyote vilivyoliwa na madumadu, nzige, na tunutu.Wakati huo nilikuwa nipo njema Sana kiuchumi, sasa katika harakati za ulevi nikakutana na mdada bar, tukalewa tukaenda guesti mdada akalala chali kuomba mzigo akaniambia panda mgongoni, nimle kisamvu.
Kwa akili za kilevi nikamchamata baada ya hapo nikawa nimenogewa kula kisamvu lakini nilifilisika na kuwa na maisha magumu. Mtaalamu mmoja akaniambia huyo dada alisepa na nyota.
Una undugu wowote na popoma?😂😂😂 Nakosa hata cha kusema
🤣Dunia imekwishaaa, nimecheka hadi nimepaliwa na sharbatii baridii. Nyie ndo mnafanya watu tukiwa ibadani tunajikuta tunacheka wenyewe kama machizi.
Au mtu anaongea unaanza kucheka anajua amekufurahisha kumbe unakumbuka maupuuzi kama haya
Ndio gharama za Uzinzi hizo.Wakati huo nilikuwa nipo njema Sana kiuchumi, sasa katika harakati za ulevi nikakutana na mdada bar, tukalewa tukaenda guesti mdada akalala chali kuomba mzigo akaniambia panda mgongoni, nimle kisamvu.
Kwa akili za kilevi nikamchamata baada ya hapo nikawa nimenogewa kula kisamvu lakini nilifilisika na kuwa na maisha magumu. Mtaalamu mmoja akaniambia huyo dada alisepa na nyota.
😂😂😂Wamevurugwa balaa Dah nilikuwa nasoma Kwa umakini aisee kumbeImebidi nicheke tu...dunia ina watu sana [emoji3][emoji3][emoji3]