Nilikuwa na ham ya kusikiliza interview ya Aisha Masaka

Nilikuwa na ham ya kusikiliza interview ya Aisha Masaka

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
9,616
Reaction score
22,521
Iko crown namna anaongea nimeishia kati
Ila ndio mchezaji wa kike nae mkubali sana na namtakia Kila la kheri kwenye mpira
 
Dogo anaonekana ana kipaji kikubwa sana cha kusakata soka. Maana kucheza Ligi kuu ya wanawake ya Uingereza, siyo kazi nyepesi.
Ni Raha kumuangalia binafsi Kila team ya wanawake ikicheza huwa naenda kumuangulia
Yeye na Stumai wa JKt
Pale ukoloni huwa namuangalia Precious
 
Matamshi yake yameathiriwa na watu wanaomzunguka mi pia nlikaa same wiki tu nkaanza kuongea Kama lile kabila la walevi
 
Back
Top Bottom