anaongeaje? na kwanini umeishia katikati?Iko crown namna anaongea nimeishia kati
Ila ndio mchezaji wa kike nae mkubali sana na namtakia Kila la kheri kwenye mpira
Anajua sana, na kimo kinambeba.Dogo anaonekana ana kipaji kikubwa sana cha kusakata soka. Maana kucheza Ligi kuu ya wanawake ya Uingereza, siyo kazi nyepesi.
Nyani haoni ......lakeSwagger nyingi na code mixing za ku force nikashindwa
Ni Raha kumuangalia binafsi Kila team ya wanawake ikicheza huwa naenda kumuanguliaDogo anaonekana ana kipaji kikubwa sana cha kusakata soka. Maana kucheza Ligi kuu ya wanawake ya Uingereza, siyo kazi nyepesi.
Ipi? Kabla ya kwenda UK au baada?tuwekeeni picha yake tumjue