Nilikuwa na mpango wa kuja Dar es salaam, ila nimeogopa

Nilikuwa na mpango wa kuja Dar es salaam, ila nimeogopa

Down To Earth

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
21,940
Reaction score
16,643
Nimeogopa sana!
Kama usafiri wenyewe unakuwa hivi nitafia kwenye kwenye daladala sijui mwendokasi😭😭

Na mimi ni mfupi kama Evelyn Salt binamu yake cocastic
FB_IMG_1741523158457.jpg
 
Dsm kuna kila aina ya maisha, ni mfuko wako tu, usafiri sio BRT tu kuna Daladala, na kuna Tax
 
Dar sio pa kinyonge lazima uwe na moyo mgumu, unaambiwa jana kwenye derby kuna mwamba alileta juisi lita 150 ameuza lita 7 zilizobaki ikabidi anywe mwnyw na familia yake 🙌
Hehehehehehehehehehehehehehehehe
 
😅😅😅 hii wengi hawaisemagi, maana ni unconditional
Noma kweli...nilishuhudia live mzungu akibambia limama limoja hivi mwanzo mwisho....nikajua hii michezo ni huku Bongo, kumbe hata wazungu nao wapo, alafu mzungu alikuwa kizee....aisee hii Dunia Ina Mambo mengi ya kustaajabisha
 
Waliotokaga boarding shule za boys... Hii inasumbua sana, wanaweza zani unafany makusudi kumbee
 
Dar Hapafai Kama una unga, bora ukae tu Tandahimba
 
Huyo uliemzungushia duara amekaa hqjasimama
 
Back
Top Bottom