Nilikuwa na Uhusiano na Jini, leo nimemkataa mazima

Nipasie jini hilo, nitakutua mzigo.
 
Huyu dada ni mtu mwenye mahitaji mengi sana. Nami kwa muda mrefu nimekuwa sitaki mpoteza. Naye anajua. So kila mara anapoomba pesa namtumia. Anapenda maisha mazuri nami najitahidi kumpatia nisionekane mwanaume suruali.
One Mistake One Goal..nyie mnaopaoalikia wazuri bado ni ushamba.

Hata awe mzuri vpi ukishakojoa tu mara mbili unaona ni wa kawaida.

Wakati wewe unahudumia na kuogopa kuachwa kuna njemba ina gonga bure kabisa bila hata shilingi moja.
 
Tuwe na desturi ya kuwakumbuka wazazi.

Huyo jini amekunyonya damu mno. Mwanamke akishakubadilikia kisa hela (akiji on/off) sio mwanamke wa kuendelea nae.
Hawa madogo kutwa kulalamikia Ufisadi wa ccm kumbe mafisadi wamewalea wenyewe sababu ya mbunye.

Mwanaume asiyeweza kuji control mbele ya Mwanamke huyo Mpaka aje kujipata atasubiri sana.
 
Aliomba nimsaidie kodi nikajichanga nikamlipia 1,400,000 kwa miezi 4. So tukawa huru kukamuana anapoishi muda wote. Maana siwezi mleta home ninaishi na mdogo wangu na sitaki aone bro wake ni mtu wa mademu tena home.
Wewe mwenyewe inaonekana pesa unapewa na wazazi wako😄😄
 
Dogo ulikuwa unapigwa sana kijinga😄😄

Lakini si ulikuwa unakamua sana. Ndio malipo hayo
 
Mkuu kweli una uvumilivu wa kumpiga chini mazima?

Nikwambie ulichokosea?

Umefanya maamuzi huku umekasirika hilo ndiyo kosa umefanya.

Unakumbuka kojo la asubuhi huja na adha gani?

Umemtafutia mbadala, alishakuona una ka uzoba lazima utamrejea huku ukilia!

Waweza kurejesha mahusiano kwa siri, tena kwa magoti huku umeshikilia noti nyekundu zisizo na idadi mikononi mwako ukiomba msamaha na wala wanaJf usitujulishe ikawa ni siri yako!

Tafuta kwanza mbadala wake ndiyo utangaze kuachana naye huyo malaya.
 
Mwendelezo tafadhali
 
Zaidi ya dolla 1000 unanunulia mbususu na wakati unajiona kabisa wewe humu jf ndio maskini ,jipige kofi apo ulipo kwa niaba yangu ukijiambia sitarudia tena huo ulofa.
 
Hawa madogo kutwa kulalamikia Ufisadi wa ccm kumbe mafisadi wamewalea wenyewe sababu ya mbunye.

Mwanaume asiyeweza kuji control mbele ya Mwanamke huyo Mpaka aje kujipata atasubiri sana.
Kuna watu ni maadaui wa maendeleo yao wao wenyewe, sisemi mwamba anahonga parefu kwa sababu tumetofautiana vipato ila kama ana kipato cha kawaida hiyo hela ni ndefu sana na kwa mwenendo huo kama ataendelea hivyo ni hatari.
 
Naipataje mashine ya kunyolea Kama uliyonayo?
Ni wa kike au wa kiume? Nenda hapa Mlimani City hii supermarket ya mwanzo ya wachina hapa ukitoka tu kituo cha baada ya mataa ya kwenda sinza. Kushoto. Zipo haziumizi na haziachi vipele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…