Nilikuwa nahitaji kufahamu ofisi za bolt ziko wapi maana nimesikia wamerudi

Njia kama unaenda rose garden kule. Sijui kama wamehama. Au ingia google map search bolt Tanzania then soma ramani. Au uliza hawa wafanya kazi wao yaani boda boda na waendesha IST.
 
Wapo Ursino.
Mataa ya Morocco kama unaenda ubalozi jengo la kwanza kulia kwako baada ya mataa.
 
Back
Top Bottom