Njia kama unaenda rose garden kule. Sijui kama wamehama. Au ingia google map search bolt Tanzania then soma ramani. Au uliza hawa wafanya kazi wao yaani boda boda na waendesha IST.