OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
hamna asiyekuwa na tabiaa chafu inategemea na anapozifanyiaa so relax kabla ya kumpointiaa kidole jiulize wewe ni msafi?na usafi wako ni wa eneo gani?mbele za watu au mafichoni?then ndo ujue unachokiongeaa kumnyanganya taji doesnt mean kuwa ndo kutaondolewa kwenye record kuwa ashawah kuwa miss and by the way taji alisharudisha ...tukimuongeleaa ndo anapenda cha msigi nikumuachaa ilaaa mwisho wake ushakaribiaa very soonView attachment 428543View attachment 428543View attachment 428544
Umaarufu kunuka.Kipindi mile wakati huyu binti anasakamwa sana nilikuwa naamini anaonewa tu,pengine wivu.
Nimepata dakika 2 za kumfuatilia aisee huyu binti ni mchafu hafai hata kwa mkopo.Ana wazazi huyu binti.Baba take yupo hai?Ana washauri?Mbona bongo kuna mamisi kibao tu,hawana tabia chafu kama huyu
.Kamati ya miss Tanzania kwa mini msimnyanganye taji huyu
uyu atakua alikua inmate wa prison kubwa kama Chikurubi maximum pale Harare na tena alitumikia more than 12 years ndani hahahahahKaribu uraiani mkuu.
Hahahaha ndio tumkaribishe ndugu yetu uraiani, usikute hata hajui kua Kanumba alifariki.uyu atakua alikua inmate wa prison kubwa kama Chikurubi maximum pale Harare na tena alitumikia more than 12 years ndani hahahahah
wema hayupo facebook we nawe umechoshaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa though ni mchafu ila kwa hili big nooooooooooooo mwacheni kwa kweli
maisha ni vile upendvyoInasikitisha sana,wakati wenzie wanakuwa role model,wanahudumia jamii yeye anakesha mitandaino eti anaiuliza timu yake kama manyonyo yake bado SAA 6
Asante haya ni zaidi ya mahubirihamna asiyekuwa na tabiaa chafu inategemea na anapozifanyiaa so relax kabla ya kumpointiaa kidole jiulize wewe ni msafi?na usafi wako ni wa eneo gani?mbele za watu au mafichoni?then ndo ujue unachokiongeaa kumnyanganya taji doesnt mean kuwa ndo kutaondolewa kwenye record kuwa ashawah kuwa miss and by the way taji alisharudisha ...tukimuongeleaa ndo anapenda cha msigi nikumuachaa ilaaa mwisho wake ushakaribiaa very soon
Huyo siyo wema mkuu?mbona mamia ya vijana wapo kwenye hill group,kwa kuchafuliwa kote huko ameripoti tcra?wema hayupo facebook we nawe umechoshaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa though ni mchafu ila kwa hili big nooooooooooooo mwacheni kwa kweli
Huku uraian kuna kitu mnaita kiki.ni niniHahahaha ndio tumkaribishe ndugu yetu uraiani, usikute hata hajui kua Kanumba alifariki.
Teh teh, ngoja vijana waje watakujibu.Huku uraian kuna kitu mnaita kiki.ni nini