Mommadou Keita
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 230
- 238
Hodi jamani hodiiiii... wenyewe mpooo? miye mwenzenu mgeni mtaa huu, ndiyo kwanza leo nimeingia, naomba mnipokee... ila miye ni mjanja sana na Great Thinker sidhani kama mnaweza kuniiingiza mjini... ila kwa ustaarabu nimeona heri nipige ningeweza kuingia kimyakimya... Hodi jamani hodiiiiiii?