Nilikuwa nakupima tu!

Nilikuwa nakupima tu!

Eeka Mangi

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2008
Posts
3,173
Reaction score
482
Jamaa ananieleza hapa eti kuna dada mmoja aliyewahi kumtokea ka mwaka umepita na ushee! Alimwomba urafiki demu akawa oooh ngoja kwanza ooh mara naogopa mara ntakwambia subiri kwanza! Jamaa akachoka huku kampata mwingine! Chakula kikaliwa cha moto! Ndoa imetangazwa juzi tu! Eti yule naogopa kamtokea jamaa na Eti nlikuwa nakujaribu tu mbona umenifanyia hivyo? Watu wako serious wewe uanaleta za kuleta! ona sasa mwenzako huyooo anaolewa we baki na staili zako!
Hivi mapenzi yanajaribiwaeee?
 
Sa jama alisha pewa kule mnato akanata sio, lakini ajiangalie hizo za kupewa pewa moto moto mara nyingi kuni haziishi kuchochea moto ndo mana ameona vya moto moto.
 
Alikuwa anbeep ati mwezake akapiga! Soon ataenda bagamoyo kwa babu eti ana Moshi.
 
Hajui siku hizi kuremba sio dili ukizingatia wadada tuko kibaaaaoo.. Ukiambiwa I Love you hupotezi muda unajibu haraka haraka I Love you too... Hahahaaa...
 
ndoa za siku hizi...
Ndani ya mwaka tu mnaoana.....
No wandazi......
 
ni muhimu sana kusoma alama za nyakati ingawa kwa case ya huyu binti 'sitaki nataka', inaonekana kulikuwa kajamaa kengine kanakamua bila malengo kakamtoa out of focus akashindwa kuona 'the bigger picture' ahead
 
ndoa ndoa Ndomaana ndo hazidumu kwani manaume akikwambia anakuoa hata kama humpendi ndo ukubali tu kisa ndoa?ukiona anadengua hajakupenda na kama amerudi jue we ni mbadala tu,wanaume bwana,nimesema na naomba ,sitaolewa na mwanaume nisimpenda kisa ei nisafishe nyota tu.
 
ndoa ndoa Ndomaana ndo hazidumu kwani manaume akikwambia anakuoa hata kama humpendi ndo ukubali tu kisa ndoa?ukiona anadengua hajakupenda na kama amerudi jue we ni mbadala tu,wanaume bwana,nimesema na naomba ,sitaolewa na mwanaume nisimpenda kisa ei nisafishe nyota tu.

Kwa hiyo unategemea kuolewa na mwanamke ili usionakane unasafisha nyota!
 
Back
Top Bottom