Nashukuru kwa wote mliochangia, (Ngeleja alikuwa amechukua umeme wake ndo umerudi just now) ukweli hana ujauzito wangu because japo nilinaswa na mtego bila kujua i was careful to use protection and it was just once on that day. Tatizo ni kwamba anaongeza mawasiliano kwa kasi sana ndo nimeamua tuu kupuuzia i dont reply. Kuhusu kusomesha kamwe i will not do in the way she like, coz it seems (japo hajasema) its like she want me to treat her like a wife. So i cant do. Unajua wadau mii nilimheshimu sana kwa miaka yote hiyo kama ningetaka ningeshamla cku nyingi but i knew it could bring problems, but now ukweli nilitegwa na si unajua tena hisia zikishaamka na mazingira yakisharuhusu ndo hivyo tena.