Nilikuwa naogopa kumtongoza, jana kumwambia akanipa ratiba

Huyo kwenye picha ndio yeye?
 
Siku hizi hata kipande Cha karatasi kinanunuliwa.....
 
Wakati unamtongoza nia yako ilikuwa uoe? Au upige utambae?
 
Nipe mimi hiyo namba niendelee pale pale ulipoishia
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…