Nilikuwa naomba mnisaidie majina ya makampuni yanayo diri na nishati

Nilikuwa naomba mnisaidie majina ya makampuni yanayo diri na nishati

Kuna mtu namjua alisoma industrial engineering, pia yeye amemaliza 2022, saivi ni engineer anakunja 3.7M. Anafanya kaz alipofanya fild.

Mkuu tokea 1st year hadi sasa hujui kampuni zilizipo kwenye industry uliosomea???
 
Inafikirisha sana
 
Mechanical digrii [emoji41][emoji41] UTAJUTA

naamini ukiingia practical na levo 3 wa VETA HUMCHOMOKI amini nakwambia

Ushauri make sure unakuwa nondo saaana kazi zipo

Tanapa
Tpa
Tpdc
Tasac
Ewura
Tanesco
Industries
Migodini
UN
Pote huko wanahitaji watu wa mechanical engineering issue ni kuwa sijawai kuona mtu mwenye hiyo digrii anamchomoka mtu wa VETA kwenye prak
 
Back
Top Bottom