Nilikuwa naona kama uzushi tu kumbe 3D Printing ni kweli

Copy1

Member
Joined
Feb 10, 2016
Posts
96
Reaction score
143
Nilianza kusikia habari kuhusu 3D printing na makeke yake tangu mwaka juzi, lakini sikuweza kuamin sana, et kwamba unaweza tengeneza chochote unachodesign na kwamba kuna viwanda had vya vyakula na madawa vinavyotengeneza bidhaa zao kwa kutumia 3D tech
baade nikakutuna na hii video, nikazid kujifunza kiasi
leo nimekutana na hii, kwamba kuna majamaa wameanza kufanya hapahapa bongo duh!!, kweli dunia kijiji
3D Printing in Dar: Mwanzo mzuri wa safari ndefu ya mafanikio | TzInsight
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…