ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Nilikuwa na Masai flani Hawa wa Morogoro akaniambia Kuna mfalme wa wamasai tajiri la kimasai anaitwa Mataiyaa Mimi sijawahi kumsikia huyu mataiyaa ila inasemekana Ni mganga wa kienyeji wa kimasai na kwamba hata Serikali ya Magufuli ilimpatia v8.
Masai ananiambia mataiyaa Ana ng'ombe 50000 kule Pugu na wengine wanachunga malisho karibu na Serengeti huko huku akilipa kwa Mwezi million 40 kwa ajili ya machungo. Eti huyu mganga Ana hela nyingi Sana kushinda hata Lowassa.
Masai akaendelea kunisimulia jinsi wanavyokulana wake zao...yaani kwamba Kama una Kaka yako Ana mke Basi ni ruksa kuchepuka na mke wa Kaka yaani hakuna kosa kikubwa Ni uweke mkuki kwa nje Ili akija ajue mko ndani.
Nimepiga Naye stori Sana huyu Masai Sasa nikaanza kuona Kam ananinywesha chai Sana bna kunishika masikio ndo maana Nimekuja niwaulize Kuna ukweli juu ya hayo aliyosema na hasa kuhusu huyu mganga wa kimasai tajiri ambaye ndo Kama mkuu wa wamasai anaitwa mataiyaa.