Uchaguzi 2020 Nilikuwa siamini, sasa nimeamini uchaguzi huu ni muhimu sana

Mmiliki wa JF yupo hapahapa, hawezi kukubali kufunga wala kukataa kutofunga bila sababu za msingi.
Ameamua kuwanyima access kwa sababu hawana sababu za msingi
Lakini pamoja na yote haya Max amekua akifuta thread nyingi kipindi hiki cha uchaguzi
 
Hoja na maswali yako ni ya msingi sana.Ngoja tuone
 

Sikuwa na mpango wakwenda kupiga kura leo lakini kwa hili walilifanya sisim. sasa nakwenda kupiga kura na ninajua ntakapoipeleka.
Sikuwa na mpango wa kwenda kupiga kura leo lakini kwa hili walilofanya sisim. sasa nakwenda kupiga kura na ninajua kura nitakapo ipeleka. mambo gani haya?
 
Hii yote ni kuzuia wapumbavu wachache kusambaza propaganda za kizushi! Watanzania linapokuja suala la uzushi mitandaoni tuko vizuri sana!

Sasa katika kipindi hiki cha kumzuia Amsterdam ni muhimu sana kuzuia wajinga wasilete ngebe mitandaoni
Kuzuia mitandaoni ya kijamii kutaigharimu CCM. Wananchi wamechukia hata wale ambao walikuwa wawapigie Kura CCM tangu Jana wamebadilisha mawazo wanawapa upinzani Kura kuikomoa CCM.
 
Hili ni kawaida kwa madikteta
 
Hii yote ni kuzuia wapumbavu wachache kusambaza propaganda za kizushi! Watanzania linapokuja suala la uzushi mitandaoni tuko vizuri sana!

Sasa katika kipindi hiki cha kumzuia Amsterdam ni muhimu sana kuzuia wajinga wasilete ngebe mitandaoni
Sasa unafanya nn hapa mtandaoni, si uende ukawapepea watawala vitambi muda huu wakijiandaa kuiba kura?!.
 
Reactions: H52
Wapo wengi wanaotumia mitandao ya kijamii hii kupotosha kuhusu uchaguzi mkuu. Uli kuepusha kusambaa kwa rumors it is better waifungie mpka uchaguzi upitee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…