Usishikiwe akili na kina Amsterdam!Unaumizwa na hili ila unajitia upumbavu tu. Hufurahii hata kidogo, nauhakika.
Wakati mwingine tuzikumbuke akili zetu mahala tulipozizika kisa CCM
Kwahiyo JF iko vizuri kuliko twitter, WhatsApp nk?Melo server yake iko USA, halafu pia wamejaribu kuuzima lkn wameshindwa,labda wacancel google ndio watafanikiwa kuizima JF.
Taifa hili ni zaidi ya Lisu na Amsterdam.Ni haki yako kuwa mwanaCCM, lakini inatia shaka utimamu wa akili yako kuona unashabikia kuzimwa social media!! Na unajihisi wew ni nguvu kazi!! Ajabu kabisa[emoji1787]
Mbona alipigwa kororoni mpaka katolewa kwa dhamana?"JINO kwa JINO" Maalim Seif
Kinukishe acha kubwabwaja humuMara zote duniani kufunga mitandao na internet,kutumia jeshi na intelligence katika kuendesha uchaguzi ndiyo imekuwa silaha ya mwisho ya madikteta wote waliokuwa wanakaribia kuanguka madarakani... I never thought CCM inaweza kuja kuanguka kwa style hii na kwa mbinu za kijinga hivi.
Nasikitika mno Zenji saa hivi wanasubiri saa 4 ifike zile kura za tiktak zikaongezweHajawahi kuwa tangu huduma za mitandao ya kijamii zianze duniani. Tz hatujawah kuzuia kisa uchaguzi
Umeelewa Jf unaipta kwenye browser mbalimbali, so ili uizuie JF inabid ufunge APPL kama google chrome, firefox na nyinginezo, au google engine uizuie isifanye kazi. Ingekuwa inapatikana kwa JF appl tu ingezimwa fasterKwahiyo jf iko vizuri kuliko twitter, WhatsApp nk?
Anayesema mitano tena sio ng'ombe ni Watanzania na hicho ndicho wanachokwenda kufanya in less than 10 hours to come.Halafu kuna ng'ombe zilikua zinasema mitano tena!!! Mxeeew
Na mimi huwa nafurahi jinsi mnavyoshangilia kila kitu Lissu anachowaongopea.Huwa nafurahi kusikia mkiwasema so called mabeberu ambao nusu ya bajeti yenu inawategemea[emoji1787]
Naiona chuki yako kwa Lissu, ilihali yawezekana umeyajua mengi ya nchi hii kupitia viongozi wa upinzani. Na pengine hata uimara unaouona CCM leo unatokana na uwepo wao, ila kwakuwa hujui hilo, unawachukia.Taifa hili ni zaidi ya Lisu na Amsterdam.
Selikali yangu kuzima mitandao ili kuzuia uhuni wa wajinga na wapumbavu wachache kina kigogo naunga mkono hoja.
Ninahisi ni kwa usalama wetu, maana watanzania tu mabingwa wa kuacha kazi zetu na kufanya za wengine, mwalimu anataka awe muuguzi, muuguzi muuza duka, muuza duka mlinziTangu juzi kulikuwa na tetesi za kwamba mitandao ya kijamii itazimwa kuanzia leo tarehe 27/10. Binafsi sikuamini kabisa habari hii kwa sababu moja tu;
[emoji117]Hakuna athari itakayotokea kuharibu uchaguzi kwa watu kuendelea kutumia mitandao hii. Sasa imefungwa, bila taarifa kwa umma, au yawezekana mimi ndio sikubahatika kupata taarifa. Naumia mno, nasononeka sana ukizingatia mahali nilipo sina namna nyingine ya kupata habari kwa haraka zaidi ya kupitia twitter, wasp, insta au FB.
Kwa sababu hii, naamini kuwa uchaguzi huu ni muhimu pengine mwingine wowote uliowahi kufanywa hapo awali. Kweli JPM hana tumaini la kumshinda Tundu Lissu, na njia pekee ni kutumia ubadhilifu, naelekea kuamini hivyo japo awali sikuwa na imani hiyo.
Nina swali dogo tu, kungetokea nini kama mitandao hii ingeendelea kuwa active? Nini kimekusudiwa kufichwa ambacho hakitafumbuliwa hata siku wakiiwasha tena?
JPM na serikali yake wanalenga kufanya nini?
Wapiga kura wengi wameogopa kupiga kura Leo Zanzibar.Mbona alipigwa kororoni mpaka katolewa kwa dhamana?
Mimi nlifikiri aliookamatwa wafuasi wake mngeenda kumtoa kwa nguvu
[emoji23][emoji23][emoji23]
Wamejaribu wakashindwa.Kwanini jf hawajaifungia?
Tutaheshimiana au tutaendelea kufa na tai shingoni!?Anayesema mitano tena sio ng'ombe ni Watanzania na hicho ndicho wanachokwenda kufanya in less than 10 hours to come.
Kwa sasa, endelea kuita ng'ombe, kesho baada ya matokeo, tutaheshimiana tuu.
P
Hata twitter mlikuwa mnadanganywa hivyo hivyo kwamba hawana uwezo wa kuifanya chochote maana siyo ya bongo.Umeelewa Jf unaipta kwenye browser mbalimbali, so ili uizuie JF inabid ufunge APPL kama google chrome, firefox na nyinginezo, au google engine uizuie isifanye kazi. Ingekuwa inapatikana kwa JF appl tu ingezimwa faster. Lkn hawana uwezo wakuizima google na browser zake ka google chrome. Kwahio ili wafanikiwe labda waihack jambo ambalo walishashindwa tangu 2013 umesikia we MATAGA. hizo nyingine zimezimwa kwa sababu ni application tu, lkn nazenyewe ingekuwa access yake inategemea SE kwenye google isingekuwa simple.