K
Kwa akili za Mange kimavi Magu ni mhutu anayelindwa na watutsi,yaani kachemsha hata mtu asiyejua propaganda anajua mhutu na mtutsi hawaezi kuaminiana kwenye issue za ulinzi.
Wahutu 85% wanawezaje kutawaliwa na 15% Tutsi..kama awajashirikiana..Kaburu SA anaweza kushinda uchaguzi????K
Kwa akili za Mange kimavi Magu ni mhutu anayelindwa na watutsi,yaani kachemsha hata mtu asiyejua propaganda anajua mhutu na mtutsi hawaezi kuaminiana kwenye issue za ulinzi.
Kwa kifupi walinzi wa rais wengi ni wa kanda ya ziwa,kama wasukuma na wakurya ni watutsi wa Tanzania nakubaliana na wewe.Wahutu 85% wanawezaje kutawaliwa na 15% Tutsi..kama awajashirikiana..Kaburu SA anaweza kushinda uchaguzi????
Kwanini nihame nchi yangu?.
P
Kwahiyo hawaamini wanajeshi wake mpaka aazime walinzi kutoka nchi jirani?,Nimesikitika sana sana sana,
Inamaana ukilindwa na wanajeshi wa nchi tofauti hapo hekaluni ndo wanaopigana vita ya uchumi utawashinda?
Nilimpuuza Dada mmoja anaishi anapokaa Mr ticha wa profesa Jay, aliposema kuna mfalme wa Guam analindwa na wanajeshi wa kanchi ka pembeni yake, nilimbishia ni kadhani ni kwakuwa yuko mlengo wa kushoto,
Lakin jana nimeamini kabisa na nimeshangaa sana
Nimeamini so kila habari ni ya kupuuza hata kama ni ya kipuuzi
Mungu awabariki watu wa Guam
Kweli kabisaJee huu uvumi ni kwel? Labda maana wenye majukumu hayo ktk kisiwa cha Guam sasa wamepewa kazi nyingine e.g. kukusanya na kulinda magodown ya mazao ya mbaazi, mpunga, kahawa na zao pendwa korosho, kufunga ma - bureau de change, kujenga kuta n.k
K
Kwa akili za Mange kimavi Magu ni mhutu anayelindwa na watutsi,yaani kachemsha hata mtu asiyejua propaganda anajua mhutu na mtutsi hawaezi kuaminiana kwenye issue za ulinzi.
GENTA ndo nani?In maana anlindwa na kina GENTA?
Kuna mahali anakosea. Huyu ni mtusi wa asili ya Bundi lakini walinzi ni watutsi wa RwandIn maana anlindwa na kina GENTA?
Hua naogopa sana, hivi hao wenye silaha wakibadilika na kua maadui, si patachimbika?! Mungu mweza wa yoteWewe hauoni kwenye ziara zake utafikiri watu wapo vitani,watu wana silaha za kivita walinzi kama 100 hivi.
View attachment 944840
View attachment 944841
Mkuu nana wokovu unakunyemelea aiseeNimesikitika sana sana sana,
Inamaana ukilindwa na wanajeshi wa nchi tofauti hapo hekaluni ndo wanaopigana vita ya uchumi utawashinda?
Nilimpuuza Dada mmoja anaishi anapokaa Mr ticha wa profesa Jay, aliposema kuna mfalme wa Guam analindwa na wanajeshi wa kanchi ka pembeni yake, nilimbishia ni kadhani ni kwakuwa yuko mlengo wa kushoto,
Lakin jana nimeamini kabisa na nimeshangaa sana
Nimeamini so kila habari ni ya kupuuza hata kama ni ya kipuuzi
Mungu awabariki watu wa Guam
...bado umeamini ujinga ambao kamwe hauwezekani,..nchii hii ni makini vyombo vya usalama visingekubali tz1 alindwe na hao vilaza wa Rwanda never
...nina imani kubwa na vyombo vyetu vya usalama