Nilikuwa sijaamini mpaka nilipohakikishiwa na mtu wa karibu kwamba mfalme wa kisiwa cha hapo Guam analindwa na wanajeshi wa nchi tofauti

CHAGUA WIMBO
 
 
Ama kweli asiyejua maana, haambiwi maana.
 
Yametimia ,Rais huwezi kulindwa na Taifa la nje,ndo waliompa sumu na kumuua baada ya kumdhulumu Tanzanite na mabilioni ya Pesa,watutsi ni watu Hatari mno.....
Huu uongo umeupata wapi!?
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Wabongo mkishashiba makande ni shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ