Nilikuwaga na uhusiano na Mmwera akajidai yeye ni M-yao

amarina

Member
Joined
Jan 5, 2025
Posts
69
Reaction score
140
Wakuu haya makabila ya wamakonde na wamwera yana kasoro yoyote?

Ilikuwa hivi huyu Dada nimuite Hawa, ni junior kazini...ni binti wa kati ya miaka 32 na 36 na anawatoto watatu. Mumewe anamatatizo ya diabetes so far huduma ya ndoa hapati. Kwa sababu maelezo yake anadai uume ukipata moto katika hali ya ulegevu ndipo sparm hutoka na ndivyo alipata watoto. Ila hapendi tu kuachana ili Walee watoto wao. Nilimsihi bas atulie.

Akajitambulisha asili yao na alivyozslishwa nk. Tetesi zinaonesha ni mmwera au kama sio ni mmakonde ila alijitambulisha kuwa yeye ni Myao.

Makabila haya mawili yana shida ipi?

Katika mahusiano nilikula mmakinde na mmwera Hawa anadalili zote za mmwera na mmakonde. Kwa nini anataka Uyao
 
Mmmmmm kuna siku tutakuwa tunalipishwa humu nadhani ....upupu utapungua sanaaaa
 
Kusini kuna makabila mengi, ila makubwa ni;
a. Wamwera
b. Wamakonde
c. Wamakua
d. Wayao
n.k

Hayo makabila yamechanganyikana baadhi ya maeneo, hivyo unaweza dhania kwa vile eneo flani lina wakazi wa kabila X ukidhani na flani wa eneo hilo ni wa kabila hilo kumbe siyo.
 
Ukimuuliza yeye nadhani atakua na majibu yakueleweka.
 
Kitu kingine nataka kukuambia suala la kabila halihusiani na utamu wa papuchi wa yule unayemdinya...
 
Wakuu haya makabila ya wamakonde na wamwera yana kasoro yoyote?

Ilikuwa hivi huyu Dada nimuite Hawa, ni junior kazini...ni binti wa kati ya miaka 32 na 36 na anawatoto watatu. Mumewe anamatatizo ya diabetes so far huduma ya ndoa hapati. Kwa sababu maelezo yake anadai uume ukipata moto katika hali ya ulegevu ndipo sparm hutoka na ndivyo alipata watoto. Ila hapendi tu kuachana ili Walee watoto wao. Nilimsihi bas atulie.

Akajitambulisha asili yao na alivyozslishwa nk. Tetesi zinaonesha ni mmwera au kama sio ni mmakonde ila alijitambulisha kuwa yeye ni Myao.

Makabila haya mawili yana shida ipi?

Katika mahusiano nilikula mmakinde na mmwera Hawa anadalili zote za mmwera na mmakonde. Kwa nini anataka Uyao
Mke wa mtu ni sumu.

.......Jiandae kuliwa kinyeo.
20250102_092748.jpg
 
Mmwela,Mmakonde,Mmakua,Myao,Mngoni,Mmatengo,Mndendeule,Mnyasa na ndugu zao woooooote ni ndugu.
 
Achana na Wake za Watu ... Litakuja kukuta hutakuja kusahau
 
Back
Top Bottom