callixtus Member Joined May 7, 2015 Posts 86 Reaction score 31 Jan 1, 2018 #1 Wapendwa Leo nauanza Mwaka sasa nimemaliza dozi jtano na Leo in Siku ya 5 naweza kupiga mvinyo?
Rajab_Omar JF-Expert Member Joined May 15, 2016 Posts 16,482 Reaction score 27,182 Jan 1, 2018 #2 Hivi Unaomba Ushauri Wa kulewa? Kulewa Ni Kazi ya Shetani na sio ya JF kwanini usiende Kwenye MIZIMU na MIBUYU ukaomba Hiyo Ruhusa ya Kulewa?
Hivi Unaomba Ushauri Wa kulewa? Kulewa Ni Kazi ya Shetani na sio ya JF kwanini usiende Kwenye MIZIMU na MIBUYU ukaomba Hiyo Ruhusa ya Kulewa?
pachachiza JF-Expert Member Joined Oct 18, 2012 Posts 1,863 Reaction score 2,757 Jan 1, 2018 #3 Kwani pombe ni chakula usipokunywa utakufa? Pumzika mkuu km hela ni yako mwenyewe utakunywa Siku yeyoye Ila km unanunuliwa nenda kadowee kitonga
Kwani pombe ni chakula usipokunywa utakufa? Pumzika mkuu km hela ni yako mwenyewe utakunywa Siku yeyoye Ila km unanunuliwa nenda kadowee kitonga
Ibada ya kwanza JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 3,282 Reaction score 1,810 Jan 1, 2018 #4 piga vyombo mzee baba