Nilimaliza dozi ya Norfloxacin siku 5 zilizopita. Je, naweza kunywa pombe?

callixtus

Member
Joined
May 7, 2015
Posts
86
Reaction score
31
Wapendwa Leo nauanza Mwaka sasa nimemaliza dozi jtano na Leo in Siku ya 5 naweza kupiga mvinyo?
 
Hivi Unaomba Ushauri Wa kulewa?

Kulewa Ni Kazi ya Shetani na sio ya JF kwanini usiende Kwenye MIZIMU na MIBUYU ukaomba Hiyo Ruhusa ya Kulewa?
 
Kwani pombe ni chakula usipokunywa utakufa? Pumzika mkuu km hela ni yako mwenyewe utakunywa Siku yeyoye Ila km unanunuliwa nenda kadowee kitonga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…