Nilimdaka tapeli Mbeya baada ya kutapeli simu Dar

Mfukoni alikuwa na sh 33,000 na kisimu kipya tecno pia alikuwa na ID za watu ikiwemo na card ya ATM isiyo na jina lake hii inaashiria amempiga mtu.Nilipomkamata bilimwambia simuachii bila 150000 akawa hana nikamwambia twende benki na ile kadi akatoe hela akawa anadai ile kadi anatoleaga hela ndani kitu ambacho si Cha kweli.Watu walikuwa wameshaanza kumzingira wamchape akawa anatia huruma akahaidi ataleta hela iliyobaki baada ya kuchukua 33,000 baada ya siku 2 akanipigia kuhaidi kuleta 50,000 kitu ambacho hajakitekeleza sasa ameanza usufumbu is nimemuambia nisije kumkamata atapata shida.Huyu bwana amekuja Mbeya msimu ambao watu wanavuna na ninahisi amekuja kuwatapeli watu sasa hivi yuko mbarali kwenye mipunga huko lazima awalize
 
Ulivyombana simu ya binti aliirejesha?
Hiko ndicho nachotaka kujua!
 
Hao matapeli ni wakuja Dar. Wametuharibia Dar yetu njema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…