Sadiki Abdallah
JF-Expert Member
- Jul 13, 2016
- 885
- 582
Mwenye taarifa ya soko la uwakika anishauri nataka niende shamba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa bei ya mahindi ilivoporomoka huu mwaka na mahindi kuwa mengi kulingana na uzalishaji mkubwa uliofanywa msimu uliopita tarajia mwakani mahindi kuadimika sana sana sana sokoni na bei kupanda mara dufu kama mwaka 2016/2017 kutokana na wakulima wengi kuzira kulima, hivyo nakushauri lima mahindi changanya na alizeti hakika mwakqni hautojuta utakuja kuleta mrejeshoMwenye taarifa ya soko la uwakika anishauri nataka niende shamba.![]()
soko lake lipo wapi maana isijekuwa tunamshauri vitu ambavyo hata soko lake ni gumu kupatikanaLima MAHARAGE MEUSI ( black beans)
Alizeti au maharage, maharage popote bei iko biesoko lake lipo wapi maana isijekuwa tunamshauri vitu ambavyo hata soko lake ni gumu kupatikana
Unataka kulima angani ili uuze peponi??,Sema uko wapi??
Ujasusi wa kidola na umaestro katika diplomasia Tanzania yapata soko la tani 120,000 za nafaka - JamiiForumsMwenye taarifa ya soko la uwakika anishauri nataka niende shamba.
Mahindi kuna changamoto ya wadudu sasa hivi ni shida tupuMwenye taarifa ya soko la uwakika anishauri nataka niende shamba.
Wale wanoingia katikati?Mahindi kuna changamoto ya wadudu sasa hivi ni shida tupu
Wale wanoingia katikati?
Nyakahura iko wapiKuna sehem nimepita Jana maeneo ya Nyakahura, Kuna kiwanda Cha Kukamua mafuta ya Alizeti Ila hakina raw material ( Alizeti) ! So Kama Kuna mtu anaweza kuwa na hata na tani 6 za Alizeti akazipeleka kwenye kiwanda hicho atapiga pesa mnoo! Either kuuza Alizeti yenyew au mafuta Maana mafuta ya Alizeti yamekuwa adimu Sana hapo nyakahura (Muzani)
Mkoa wa KAGERA, WILAYA ya BIHARAMULONyakahura iko wapi