Nilimezwa na chatu mwaka 2008

Siku nyingine ukikumbana na chatu lala chini halafu angalia uwezekano wa kupata kijiti kikavu (hapa ujasiri unatakiwa) anza kukivunja kidogo kidogo (hata mara 10) ukiwa pale pale chini....Chatu atajiondokea zake, ukishagundua kaondoka amka timua mbio..
 
Nakataa kwa sauti kubwa
 
Aiseee ilitakiwa baada ya hapo ujiunge na Jeshi na baada ya kuona picha zako wangekutunuku ukomandoo kwanza kisha ndo ungeanza mafunzo.

Chatu ni balaa. Mwaka 2014 mimi na jamaa zangu 4 tuliua chatu tuliyemkuta anameza mbwa kichakani. Ana vimacho vidogo utadhani hawezi kuona vizuri kumbe ni balaa tupu. Tulikuwa tunampiga marungu na mapanga yanadunda, mwili wake anajivuta kama rubber material (mpira) . Mwisho wa siku tukaona anatuzingua. Tukanyonya mafuta ya petrol toka kwenye pikipiki, tukammwagia na kumpiga moto, ndo ukawa mwisho wake.
 
stori za kwenye move anatuletea uyu
asili ya chatu ni

1.kuanza na kichwa anapomeza mnyama ili kumraisishia umezaji

2. chatu gani uyo kameza mguu mmoja afu utoke umeungua tu akati chatu utumia meno yake yale makubwa ya mbele kupushi chakula kiingie ndani
maanake ungedhulika afya kwa ujumla yule ana sumu

3. ushaidi wa picha haupo ili kutuaminisha kama ni kweri yalikutokea hayo

4.afu wewe ulikua pombe umesema ulijuaje yule ni chatu
usikute kenge
Kwa nini ukilala chali anashindwa kujiviringisha mwilini mwako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…