Nilimfata Manara na sasa namfuata Harmonize

msiwe mnamaliza maneno yote,hii tz ni ndogo sana.

halafu huu mziki wa views ndio unadanganya sana wasanii siku hizi.
kama ulikuwa hujui......hizo ndizo zna determine ukubwa wa msanii
 
Mtu akitaka kubisha juu ya hiki ulichoandika, atatakiwa atutajie kitu chochote kile ambacho Harmo ame-ongeza tangu atoke kwa wanyonyaji (hâta kimoja tu).
sure mkuu.........ukicheki kiuhalisia harmonize wa sasa sio yule wa miaka miwili iliyopita kimafanikio.............now days anazidi kupotea kwenye mziki wa kimataifa..........but kwa taanzania....kidogo ana survive
 
i hope kweli wamelipa kodi. mamiziki mengine haya ya kishetani yanawapotezea muda mnashindwa hata kumtafuta Mungu, shetani anawapumbazia muhangaike nayo weeee mje kustuka mmekufa mpo jehanum au dunia ndio imeisha au ameshawafunga kifungo cha maisha. Rudini kwa Mungu kwa Njia ya Yesu Kristo, achaneni na hayo mafreemasons. watu wanatambiana mauchawi na ninyi bado mnapoteza muda kuwaweka kichwani?
 
Mang'dakiwe...niache useraa
 
Ila harmonize alikuwa anatoa nyimbo nzuri sana akiwa Wasafi.. sijui amepatwa na nini siku hizi? Sijui ni producer wabovu, au amekosa ile competition iliyomsaidia kujituma zaidi? Angekuwa smart angeanza kuwekeza kwenye sector zingine. Hata Diamond nae siku hizi anatoa nyimbo utopolo mtupu 🚮🚮🚮
 
Sisi tunaojielewa tunashabikia timu na kuipigania hadi kufa. Hakuna shabiki wa kweli anaejitambua anamshabikia kiongozi au mfanyakazi wa timu.

Kweli wewe ni maandazi kwelikkweli. Tena unapoteza muda wako unathubutu kuandika umehama.

Manara akiacha kazi Yanga , akaajiriwa na GSM kuuza magodoro utakuwa shabiki wa magodoro chapa GSm bila shaka.

Zuzu kweli wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…