Eng. Smasher
JF-Expert Member
- Nov 13, 2010
- 745
- 23
Mamboz vipi wana JF!!!
Hivi majuzi wakati nipo kwenye graduation ya 4m4 kwenye ukumbi maarufu the Rocky City nilichoka kucheza muziki nikaamua kupumzika ndani ya kibanda kimoja wapo!
Wakati naingia nilish2ka kumkuta TICHA wangu wa English na PADRE wa kanisa takatifu wakinywa na kupigana makiss motomoto!
Nilibaki nimepigwa butwaa nikaitwa kujumuika na kupewa mshiko wa maana ninyamaze kimya!!!
Ingekuwa wewe unge2nza siri??!!
WE M'MBEA, UNASTAHILI KUPIGWA MAWE!! Asa hela ya huyo nani sijui ulichukuwa ya nini na si ulikubali kuwa hutasema? LIONE
Acha ushankupe - Mambo ya watu unafuatilia ya nini? s.t**id
Sasa mbona umeshindwa kutunza siri za watu...!?
Itakusaidia nini ukiitoa adharani, si bora ungewanasihi.
Sasa unafikiria nani atakuamini!? Na ushahidi huna.
Wewe mpu***fu tu - Watu wako faragha na mambo yao - wewe unawachungulia!!! wtf
Wewe mpu***fu tu - Watu wako faragha na mambo yao - wewe unawachungulia!!! wtf
pole sana kaka
sinto kujibu vibaya ila ninachoo mba kusema ni
walimu na mapadre ni watu ambao tunawategemea sana katika jamii yetuu..
labda nikweli uliona hivyo mimi sijui ...
lakini cha kufanya usije waambia watu ambao wanamjua huyo mwalimu na haswa haswa watu ambao wanamjua huyo padree...
kwanza watu wengi hawatakuamini na watako kuamini utakuwa umewavunjia uhusiano wao na hao watu muhimu kwenye jamii yetu..
samahini kwa maneno mengi ...AD
Thanks dada kwa ushauri mzuri MUNGU akujaalie kwa busara zako!!
Ushauri gani unao utafuta, wakubandika picha zao wakia utupu au...!?Naogopa kumwaga ushahidi hadharani coz ya huyo Ticha wangu dats y naomba ushauri 2!!