hata mimi huwa ninamshukuru kwa sababu akupendaye atakuamini tu bila ya kujali porojo za mtaani...........
Akupendaye atakupenda tu bila kujali porojo za mitaani asizoweza thibitisha, but kukuamini kunapungua, hata uwe unampenda mtu namna gani,taarifa unazopokea zisizopendeza zinapunguza imani.....pole sana,natumai umeshampata anayekuamini walau kwa kiasi.
Mara nyingi wadada ukiwafuata kwa mara ya kwanza huwa wanakuwa wagumu kidogo, ilipaswa ujaribu tena na tena! By the way, unaonekana pia haujatulia, may be jirekebishe ndo uanza upya mishe mishe zako za mahusiano
ulitakiwa urudi tena na tena mpaka imuingie akilini