Nilimpenda lakini karudi na ujauzito usio wangu

mnakaven

Member
Joined
Mar 31, 2021
Posts
8
Reaction score
16
Mimi ni mwanachuo katika chuo fulani hapa Tanzania. Kuna mwanachuo mwezangu girlfriend nilimpenda nikawa namsaidia fedha ndogondogo.

Wiki mbili zilizopita karudi kutoka field ana mimba sio yangu ila tuliahidiana kuoana lakini sasa yeye kaharibu, nifanyeje wakuu bado nampenda ingawa nimechukia. Nini madhara yake endapo nitaendelea nae age 24 Dem 22.

1628406664351.png

Mkuu hebu andika vizuri kama mwanafunzi wa chuo.

Unataka ushauri gani kwenye jambo linaoleweka kama hili? Sasa hapo unataka tukushauri nini kaka? Hebu jaribu hata kuchanganya elim yako na akili yako ya kuzaliwa kutatua hii changamoto ambayo haiitaji ushauri.
 
Akili inanituma nimwache kwavile ni msaliti ila ubinadamu unanifanya nimwonee huruma kwavile nilimpenda sana
 
Mkuu hebu andika vizuri kama mwanafunzi wa chuo.

Unataka ushauri gani kwenye jambo linaoleweka kama hili? Sasa hapo unataka tukushauri nini kaka? Hebu jaribu hata kuchanganya elim yako na akili yako ya kuzaliwa kutatua hii changamoto ambayo haiitaji ushauri.
Inahitaji ushauri kwasababu kuna bahati mbaya na pia hata kwenye ndoa kuna wanaochepuka... inshort huyo girl friend na mahusiano naye ya mwaka na nusu
 
USHAURI WANGU: Kama unampenda yeye, ipende na mimba yake coz umeshindwa ku-act kama mwanaume.
 
Mimi ni mwanachuo katika chuo fulani hapa Tanzania. Kuna mwanachuo mwezangu girlfriend nilimpenda nikawa namsaidia fedha ndogondogo.

Wiki mbili zilizopita karudi kutoka field ana mimba sio yangu ila tuliahidiana kuoana lakini sasa yeye kaharibu, nifanyeje wakuu bado nampenda ingawa nimechukia. Nini madhara yake endapo nitaendelea nae age 24 Dem 22
Kama kugongwa na mwanaume mwingine anasema ni kosa, Unahisi mpaka hiyo mimba inaingia alikosea mara ngapi?

Piga chini huyo mkuu. Uhamuzi utakaoufanya hapo, ndio utakudefine ww ni mtu wa aina gani kwake.
 
Mimi ni mwanachuo katika chuo fulani hapa Tanzania. Kuna mwanachuo mwezangu girlfriend nilimpenda nikawa namsaidia fedha ndogondogo.

Wiki mbili zilizopita karudi kutoka field ana mimba sio yangu ila tuliahidiana kuoana lakini sasa yeye kaharibu, nifanyeje wakuu bado nampenda ingawa nimechukia. Nini madhara yake endapo nitaendelea nae age 24 Dem 22
Msamehe na muanze upya tu

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Mimi ni mwanachuo katika chuo fulani hapa Tanzania. Kuna mwanachuo mwezangu girlfriend nilimpenda nikawa namsaidia fedha ndogondogo.

Wiki mbili zilizopita karudi kutoka field ana mimba sio yangu ila tuliahidiana kuoana lakini sasa yeye kaharibu, nifanyeje wakuu bado nampenda ingawa nimechukia. Nini madhara yake endapo nitaendelea nae age 24 Dem 22
Huyo ni mkubwa Sana kwako hamuwezi kwendana kabisa , kama unamtaka kubali wewe uwe zuzu yeye ndo akuongoze
 
Back
Top Bottom