Kakiri kwamba kakosea na ni dhamb pia hawezi toaNaona wengi inatuwia vigumu sana to control the power of your love to someone, mpaka mtu ana beba mimba bado unajishauri kumuacha ?!
Unadhani ungekuwa wewe ungebakishwa ?
Akili inanituma nimwache kwavile ni msaliti ila ubinadamu unanifanya nimwonee huruma kwavile nilimpenda sanaMkuu hebu andika vizuri kama mwanafunzi wa chuo.
Unataka ushauri gani kwenye jambo linaoleweka kama hili? Sasa hapo unataka tukushauri nini kaka? Hebu jaribu hata kuchanganya elim yako na akili yako ya kuzaliwa kutatua hii changamoto ambayo haiitaji ushauri.
Inahitaji ushauri kwasababu kuna bahati mbaya na pia hata kwenye ndoa kuna wanaochepuka... inshort huyo girl friend na mahusiano naye ya mwaka na nusuMkuu hebu andika vizuri kama mwanafunzi wa chuo.
Unataka ushauri gani kwenye jambo linaoleweka kama hili? Sasa hapo unataka tukushauri nini kaka? Hebu jaribu hata kuchanganya elim yako na akili yako ya kuzaliwa kutatua hii changamoto ambayo haiitaji ushauri.
Sasa kama unajua kuna bahati mbaya unaomba ushauri wa kazi gani.Inahitaji ushauri kwasababu kuna bahati mby na pia ht kwenye ndoa kuna wanaochepuk...inshort huyo girl friend na mahusian naye y mwak n nusu
Kama kugongwa na mwanaume mwingine anasema ni kosa, Unahisi mpaka hiyo mimba inaingia alikosea mara ngapi?Mimi ni mwanachuo katika chuo fulani hapa Tanzania. Kuna mwanachuo mwezangu girlfriend nilimpenda nikawa namsaidia fedha ndogondogo.
Wiki mbili zilizopita karudi kutoka field ana mimba sio yangu ila tuliahidiana kuoana lakini sasa yeye kaharibu, nifanyeje wakuu bado nampenda ingawa nimechukia. Nini madhara yake endapo nitaendelea nae age 24 Dem 22
Msamehe na muanze upya tuMimi ni mwanachuo katika chuo fulani hapa Tanzania. Kuna mwanachuo mwezangu girlfriend nilimpenda nikawa namsaidia fedha ndogondogo.
Wiki mbili zilizopita karudi kutoka field ana mimba sio yangu ila tuliahidiana kuoana lakini sasa yeye kaharibu, nifanyeje wakuu bado nampenda ingawa nimechukia. Nini madhara yake endapo nitaendelea nae age 24 Dem 22
Nakazia Oa Halafu Utamkumbuka JiweMuoe tuu halafu akipata nyingine ulete mrejesho
Nakazia Oa Halafu Utamkumbuka Jiwe
Kosea Kuoa Au Kuolewa Maana Mtaachana
Ukikosea Kuchagua Mpaka Miaka 5
π
Huyo ni mkubwa Sana kwako hamuwezi kwendana kabisa , kama unamtaka kubali wewe uwe zuzu yeye ndo akuongozeMimi ni mwanachuo katika chuo fulani hapa Tanzania. Kuna mwanachuo mwezangu girlfriend nilimpenda nikawa namsaidia fedha ndogondogo.