Nilimpenda lakini karudi na ujauzito usio wangu

Mkuu unasoma chuo gani?
 
Acha us.en.ge, nimetamka polepole mods wasije wakanisikia ila ungekuwa karibu ungekula ngumi ya uso.
 
mkuu umesahau kusema upo TEKU campus ya wapi ili kama kuna wajuba ambao wapo karibu humu waje wakusaidie kisaikolojia
 
Sasa kama unajua kuna bahati mbaya unaomba ushauri wa kazi gani.

Kijana Acha mambo ya ajabu piga buku
Mwenye Kupenda Haoni,Chongo Ataita Kengeza
Kusikia Kwa Kenge Mpaka Atoke Damu Puani Na Masikioni πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜„πŸ˜…πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜€
Huyo Hasikii Mpaka Yamkute
 
Wenzako Hata mimba ikiwa yao kwa chuo wana kimbia sembuse sio yakooo
Hii Ni Point Kubwa Sana
Inatakiwa Mleta Thread Awaze
Mmoja Alipachikwa Singida Kwao Kigoma Akahaha Jamaa Likamkimbia
 
Kalee hiyo mimba,we si lofa,mjinga kabisa wewe.
 
Kalee hiyo mimba,we si lofa,mjinga kabisa wewe.
πŸ˜€πŸ˜πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜…πŸ˜ƒπŸ€£πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜€
 
Mada ya mvulana wa chuo akiomba ushauri demu wake ana MIMBA .matokeo ya BRN haya issue ndogo mwanachuo inakushinda? Ushauri wangu mpige na kitu kizito kichwani Kisha wapigie wasaidizi wa siro uwajulishe,ukalelewe keko.
 
Muoe then ifike siku ya wabab duniani 🀣🀣🀣kweny status utalia utamuona kidume mwenzio
 
Mapenzi kiti cha basi aloimba hajakosea. Nahisi mengi bado huja hadithiwa.

Huyo temana nayeee yaani [emoji848][emoji848] kimbiaa [emoji1322][emoji1322][emoji1322] Mungu kakuepushia tabu. Piga goti mshukuru maulana kwa kukuonesha mtu alivyo
 
Akili inanituma nimwache kwavile ni msaliti ila ubinadamu unanifanya nimwonee huruma kwavile nilimpenda sana
Sio msaliti. Hakupendi, hakutaki wewe ndio king'ang'anizi imebidi akuoneshe kwa vitendo. Wewe ni baby kwa wanawake. Huwajui hata kidogo. HAPO HUTAKIWIIIIIII
 
Naona wengi inatuwia vigumu sana to control the power of your love to someone, mpaka mtu ana beba mimba bado unajishauri kumuacha ?!

Unadhani ungekuwa wewe ungebakishwa?
Nilivyoona kichwa cha habari nilishtuka nikajua ni mke wake kapigwa mimba nje ya ndoa kufungua uzi nagundua kumbe ni watoto wa chuo wanadanganyana,sasa mtu hata mahari kwao hajapeleka anajipa mawazo yasiyokuwa na msingi
 
Akili inanituma nimwache kwavile ni msaliti ila ubinadamu unanifanya nimwonee huruma kwavile nilimpenda sana
Umuonee huruma kivipi sasa kwani mwanaume ni wewe tu?na kama mwanaume ni wewe tu peke yako mbona alipata mtu wa kumtia na mimba juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…