Nilimpenda lakini karudi na ujauzito usio wangu

Hongera sana sana ila mwambie awe anatumia Condoms
 
Hongera kijana kwa kupata mtoto wakambo. Na wewe mletee mtoto wa kambo then hao watoto watawashauri wakikua.

Sikutegemea kama utauliza ushauri kwenye hilo
 
We muoe tu kwani mimba ndo nini
Upendo una nguvu kuliko mimba.
Ila badaye hushindwi kutumia hilo kosa kumchapia fimbo wewe
 
Kweli kua uyaone na sio maghorofa, ila nakupa hakikishi hata kwenye ndoa utaendelea kulea watoto wa wenzio sababu kashaona hiko kipaji unacho.
 
Unampendaje mtu ambaye ana mimba ya Mwanaume mwingine? huenda aliyempa mimba ana mpango wa kumuoa, jiongeze maisha mengine yaendelee.
 
Sasa ndio muda wa kuongeza mapenzi kwa mama na mtoto
 
Unataka tukushauri ?
 
Yan sijui ndo malezi au nini ....nilipokuwa na umri kama wako sikua ndezi wa kiasi hiki duuu....hili mbona hata sio jambo la kuombea ushauri zaidi ya wewe "by now" kuwa ushaachana naye??
 
Huyo tayari si mwaminifu hakufai
 
Toto senge kweli hili pamoja na kusoma kufika chuo halina akili ya kuchanganua mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…