Nilimpenda sana tatizo alikua na mashine kubwa

Daaaah sasa mbona shule zilishafunguliwa wewe mbona hujaenda utuachie jukwaa letu?

Kesi ya utoro
 
Ivi mleta mada tangu umejoin jf unachowaza ni ngono tu??
 
Mmh. Yaani umejikuta tu zote zinakuchukiza.

Pole sana mwaya.
Niliwaikuja apa kutoa ushahidi jinc nilivoumizwa asee ndio maana wote cwatak japo mkosaj ni mmoja
 
Miezi mitatu ktk mahusiano ushapigwa mashine hadi umeichoka! Kah...ukahaba on fleek
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…