Nilimshikisha adabu hadi leo kanikoma!

mmmnh...kwahyo utawafanyia hvyo wasichana wangapi waliokutosa? au huyo ndo wakwanza?
 
Hadithi hii inatufundisha nini? Hadithi hii inatufundisha tusiwe wachoyo!! Hongera! Imara! Waaa!
 
unataka kusema ule usemi wa jino kwa jino unautimiza?alipaye kwa baya huyo ni shwetani.
 
huko co kumkomesha ni kumdhalilisha mtoto wa watu teana ni kosa kubwa umetenda ww
 
mkuu unatakiwa uwe na subira sana maana hapo ulikuwa unatafuta kesi fikiri kabla ya kutenda utakuja fia jera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…